SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Na wakifukuzwa pia jibu lipo; kusoma chuo haukuwa mpango wa bwana au bwana ana kusudio lake na litatimia!!!!!

Imeandikwa, ...mshike sana elimu maana wengi wataangamia kwa kukosa maarifa. Hakika mtihani watafanya na wataendelea na chuo kwani ndio mpango wa Bwana, fuatilia.
 
Huenda hao walikuwa hawajajiandaa wametafuta kisingizio! Vinginevyo haiingii akilini!
 
Imeandikwa, ...mshike sana elimu maana wengi wataangamia kwa kukosa maarifa. Hakika mtihani watafanya na wataendelea na chuo kwani ndio mpango wa Bwana, fuatilia.


Ni kwa sababu jumamosi sio siku ya kazi so hapo iko wazi watsumbuka ila watapewa tena mtihani kwa hiyo sio mpango wa bwana ni logic tu na taratibu za kazi sehemu za umma
 
Mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni Yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa Yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana Haki haipatikani kwa matendo ya Sheria UKO VIZURI KABISA KWA MAELEZO YAKO!
 
aliivunja kwa kufanya nini, toa references. na umejifunga inamaana yesu alikua msabato
 
Bwana alisema ukimtegemea hatakufanya mkia bali kichwa. Bwana atawaonyesha njia muda si mrefu
.
Na wakifukuzwa pia jibu lipo; kusoma chuo haukuwa mpango wa bwana au bwana ana kusudio lake na litatimia!!!!!

Kuna mada moja kule kwenye jukwaa la JF Intelligence which says "Religious people are less intelligent compared to Atheists according to studies" mkipata muda piteni huko *cough *cough umhh 'you'll love it' 😉
 
ila we unachekesha, unajua hii nchi ina uhuru wa dini, kuwepo kwa wasabato wachache si kigezo cha kuwakandamiza imani zao. kusoma, kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi kwa msabato yoyote, basi na jumapili watoe hyo mitihani ili kuwe na usawa.
hii!!!!...watu mpaka x-mass an Eid tumefanyaga mitihani we unaongea jpill...uliza Sua na MUccob's.
 
Hiki chuo kifungwe tu. Huku ni kuvunja haki ya watu na wakizinguliwa waende mahakamani.
 
Mi nawalaumu Wasabato wenyewe, hii sio mara ya kwanza tukio kama hili kutokea TEKU, kwanini hawajifunzi? Kama wao hawawezi kwenda kinyume na Imani ya dini yao, ni bora wangeomba vyuo vingine.

TEKU pale ni wa Moravian, wao wanaitambua Jumapili tu! Hawawezi kuitambua Jumamosi kwa sababu hata wa Ijumaa watadai hiyo haki ya kutofanya chochote siku hiyo, je kwa wiki tusome siku nne tu?

Pale vipindi ni Jumatatu hadi Jumamosi, hakuna asiyependa weekend lakini inabidi mtu ukasome. Sasa mi nashangaa ikiwa hawa Wasabato huudhuria vipindi hadi jumamosi alafu washindwe kufanya mitihani siku hyo?

Inabidi tujifunze kuwa Imani ya kweli kwa Mungu na matendo mema kwa wenzetu ndio vitatufikisha Mbinguni. Ya Kaesar tumwachie yeye mwenyewe!
 
yani tatizo lipo palepale, kusoma au kufanya mitihani siku ya sabato ni dhambi, ina mana watakua wametendeshwa dhambi kwa lazima na haikua kusudio lao
 
mabwana wapo wengi, yupi unayemzungumzia?? Kama ni yehova hiyo imekula kwao, kuja kwa yesu hatupo tena chini ya matendo ya sheria/torati kwa maana haki haipatikani kwa matendo ya sheria bali kwa imani'galatia 2:16' galatia 2:21, ibrahimu alihesabiwa haki kwa imani. Na sabato ilikuwa ni agano la mungu na wana wa israel tu 'hesabu 31:16-17'. Ukisoma galatia yote nadhani hautakaa tena chini ya sheria/torati.

verified
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom