kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,028
Aleyn! Nakuomba niendelee kufanya kazi! Ntarudi kwako Leo saa mbili na nusu usiku! Nakuomba uwepo on line! Thx
Jamani sabato !!! Ati ukila samaki asiye na magamba dhambi! Leo tuaambiwa usifanye mtihani siku ya Jumamosi, eeh vipi tena. Si hao ndo waliwahi kwenda kuishi uwanja wa ndege Dar wakitaka kusafiri kwenda Israel bila viza wala passpoti ati Yesu angewapa, wakatimuliwa wakaenda kuishi msituni Segerea hadi mmojawao akapatwa na maradhi na kufa. Kiimani watu hawa si wazima! Nasiki awengine walifungwa. Sawa kabisa!