SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

Status
Not open for further replies.
Aleyn! Nakuomba niendelee kufanya kazi! Ntarudi kwako Leo saa mbili na nusu usiku! Nakuomba uwepo on line! Thx

Jamani sabato !!! Ati ukila samaki asiye na magamba dhambi! Leo tuaambiwa usifanye mtihani siku ya Jumamosi, eeh vipi tena. Si hao ndo waliwahi kwenda kuishi uwanja wa ndege Dar wakitaka kusafiri kwenda Israel bila viza wala passpoti ati Yesu angewapa, wakatimuliwa wakaenda kuishi msituni Segerea hadi mmojawao akapatwa na maradhi na kufa. Kiimani watu hawa si wazima! Nasiki awengine walifungwa. Sawa kabisa!
 
Na wao wanaamini Mbinguni unaenda kwa kuishika Sabato ambayo ni J'mosi bila kujua maana halisi ya Sabato.
 
Unajua kuna watu wanapenda tu kusema watakacho bila kufikiria. Ingekuwa imekukuta wewe au mwanao ndipo ungetambua maana yake ni nini. Hii dunia haitakuwa na amani mpaka pale watu watakapoheshimiana imani kwa imani na wasio na imani wawaheshimu wenye imani pia wenye imani wawaheshimu wasio na imani.

Sheria za nchi ziliposema uhuru uwepo sio kwamba zilikuwa hazina akili au hazina maana. Sasa hivi mtu kama unajua una imani ambayo unaweza kusumbuliwa, soma sana upate nafasi katika vyuo vya kiserikali la si ivyo utateseka sana.

Wise man talking, umenena vyema mkuu.
 
SABATO!! Hii ndiyo dini ya ajabu kabisa duniani na ndiyo iliwafanya Wajita kuwa wabishi, majivuno, ujuaji, kudharau dini za wenzao na zaidi ya yote kuwa masikini. Wapare wana nafuu kidoogo maana kuna dini nyingi kubwa huko Upareni kama KKKT. Wao Wapare walibaki na ubahili ingawa ubishi pia wamo. Mimi siyo Mkabila lakini ukweli hiyo Sabato ilikoanzia imewaathiri watu wengi.
Kweli tupu ..
 
Nani alikuambia mbiguni wataingia matajiri na wachoyo" wabahiri" au biblia unasomewa tu wewe haushiki usome mwenyewe!? Aleyn mi napita tu kuona mnasemaje humu juu ya sabato! Ntarudi kwako ule Muda!
 
Yesu hakuja kutengua torati ya Mussa bali kuitimilza..na imeandikwa ole wake atakakae ondoa neno lolote ndani ya bibla
Ufunuo 22:19
 
Jamani sabato !!! Ati ukila samaki asiye na magamba dhambi! Leo tuaambiwa usifanye mtihani siku ya Jumamosi, eeh vipi tena. Si hao ndo waliwahi kwenda kuishi uwanja wa ndege Dar wakitaka kusafiri kwenda Israel bila viza wala passpoti ati Yesu angewapa, wakatimuliwa wakaenda kuishi msituni Segerea hadi mmojawao akapatwa na maradhi na kufa. Kiimani watu hawa si wazima! Nasiki awengine walifungwa. Sawa kabisa!

Wewe usirukie Gari kwa mbele litakugonga! Huu mziki wa sabato wewe hauwezi kuucheza'! Kwani hufahamu mwinjilisti atakula na kuishi kutokana na injili? Wale wanafunzi wa Yesu walipo ziacha kazi zao na familia zao na kumfata Yesu, Walikua wanakula nini? Na familia zao ziliishi vipi wakati wao ndo Walikua wategemewa? Kwa Mungu kila kitu kinawezekana!
 
Haki ipi Mkuu hapo imevunjwa? Vipi na wale wanaosali Ijumaa, haki yao haijavunjwa?

Haijavunjwa kwa sababau ijumaa ni siku ya kazi. Jumamosi sio siku ya kazi, ndo maana mtu ukifanya kazi siku hii inabibidi ulipwe overtime; uhaba wa lecturers na madarasa ndo vinasababisha haya yote na ni kwa sababu hivi vyuo wanaanza na spidi mia wakati wanatakiwa waanze taratibu. Tanzania kila kitu kiko yeboyebo.....chuo kabla ya kuanza kazi inabidi lecture rooms, lectuers and number of students na mahitaji mengine vibalance.....
 
kazi ya sheria ni kuonyesha dhambi. wewe unaesema yesu alivunnja sabato wewe ni mwongo.mimi naamin i kwamba yesu hakuja kutangua torati wala manabii mpaka yote yatimie, yodi moja ya nukta haiwezi kuondolewa. paulo anasema nisingetambua dhambi bila sheria kuwepo. ukitaka nikupatie mafungu
 
Huwa tunafanya sana mitihani Jumapili, na Ijumaa pia. Sijawahi sikia wanafunzi wanakataa kufanya mitihani Jumapili sababu ni siku ya Bwana.
hawa Wasabato ndo zao kwenye vyuo vingi tu..... wanajidai wao ndo Wakristu kuliko Yesu Mwenyewe. Yesu alifanya kazi siku ya Sabato na hakuhesabiwa kuwa ni dhambi, sembuse wao.

Yesu alifanya kazi gani siku ya sabato? Usidangaye watu! Wewe kama Imani yako inakuruhusu kufanya yasio mpendeza Mungu siku ya kuabudu wewe ni sawa kwako! Lakini kwa sabato hakuna hicho kitu!
 
Kwani nani kakudanganya kuwa jumapili(siku ya kwanza ya juma)ni Sabato?Ni halali kufanya mtihani siku ya jumapili but siku ya Sabato(jumamosi) sio halali...Nitaendelea.
 
kasome Biblia yako.....
kama unaisoma vizuri usingebishia hili
 
Kwani nani kakudanganya kuwa jumapili(siku ya kwanza ya juma)ni Sabato?Ni halali kufanya mtihani siku ya jumapili but siku ya Sabato(jumamosi) sio halali...Nitaendelea.
ha haa, look at you.......
Sabato ni nini?
Ni siku ya Juma au Siku ya Bwana?
Kwenye Biblia hawakuandika lini ni siku ya kwanza na lini siku ya mwisho..... Mungu ndo anajua.
Kuna shida gani mimi nikiamua Alhamis ndo itakuwa siku yangu ya Bwana?
Unaweza kunionyesha kwenye Biblia wapi wameandika Sabato ilikuwa Jumamosi?
 
kazi ya sheria ni kuonyesha dhambi. wewe unaesema yesu alivunnja sabato wewe ni mwongo.mimi naamin i kwamba yesu hakuja kutangua torati wala manabii mpaka yote yatimie, yodi moja ya nukta haiwezi kuondolewa. paulo anasema nisingetambua dhambi bila sheria kuwepo. ukitaka nikupatie mafungu

Wambie Hawa watu ukweli! Hata Yesu alipokua akiwafundisha ile kweli waliikataa na kumua! Hata wanadamu wa Leo wanazipinga sheria za Mungu ambazo hizo sheria ndo imani ya Yesu! Sasa nashangaa wanadai kumwamini Yesu wakati sheria zake hawazitaki!
 
Hivi Wasabato ni Wakristu?Anyway hata mimi wakati niko Mlimani miaka ile kuna wasabato waligomea mtihani jumamosi na waka-disco,walilalamika na kushauriwa kuwasilisha malalamiko yao kwenye senate,siku senate imekaa kupitia appeal yao proffesor mmoja akaomba tarehe ya barua ya malalamiko iangaliwe,ikakutwa barua hiyo iliandikwa siku ya Jumamosi,kumbe walivyotoka ibada siku hiyo ndi walikaa na kuandika appeal yao.Rufaa ikatupliwa mbali kwamba huyo ni Mungu gani anayezuia kufanya mitihani Jumamosi lakini akawaruhusu kuandika barua Jumamosi!

like it,.!
 
ha haa, look at you.......
Sabato ni nini?
Ni siku ya Juma au Siku ya Bwana?
Kwenye Biblia hawakuandika lini ni siku ya kwanza na lini siku ya mwisho..... Mungu ndo anajua.
Kuna shida gani mimi nikiamua Alhamis ndo itakuwa siku yangu ya Bwana?
Unaweza kunionyesha kwenye Biblia wapi wameandika Sabato ilikuwa Jumamosi?

Bado haujaniambia Yesu alifanya kazi gani siku sabato?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom