Sabaya aangua kilio mahakamani, kesi yaahirishwa

Hiyo kesi imefutwa.

Hakuna kitu kama hicho.

Kafungue tuone kama utakuja na ushahidi wowote.

Kesi za kubumba tu. Ila ni jambo la kikatili mno wanalolifanya.
Ukatili gani anafanyiwa huyo jambazi?

Hata kama ikifutwa uhalisia unajulikana kwa aliyoyafanya siwezi kupoteza muda kufungua kesi huyu atalipwa malipo yake kama boss wake.
 
Kwa bahati mbaya huwa mnakuja na allegations tu without any kind of evidence


Only hearsay.
 
usimuhurumie haya ndio malipo yake kwa kutesa na kuua wengine!!!
Mkuu kuna kesi ya mauaji hapo? Au kuna kesi alishtakiwa kwa utesaji na akakutwa na hatia? Kimsingi pale hamna kesi ila wanachokitaka ni kumuondolea sifa asije kutumikia utumishi wa umma! Hicho ndo wanakitaka na ndiyo maana unaona wale wengine wamekiri na kuachiwa huru kwa Tsh 1,050,000/= unafikiri Sabaya anashindwa kukiri naye akaachiwa? Nop hashindwi ila kuna kitu anakilinda, ana ndoto nacho na ndiyo maana anakomaa ila kimsingi pale hamna kesi maana kesi ni kumpekua mtu bila utaratibu!
 
Ukatili gani anafanyiwa huyo jambazi?

Hata kama ikifutwa uhalisia unajulikana kwa aliyoyafanya siwezi kupoteza muda kufungua kesi huyu atalipwa malipo yake kama boss wake.
Kama huna muda wa kufungua kesi kaa kimya usiongee tena.
 
Majuto mjukuu. Mchuma janga hula na wa kwao. Ndugu mlikuwa wapi wakati akifanya uMalyamungu?

 
Ushahidi wa maovu ya Sabaya sio wa kutafuta, tungekuwa na mahakama huru kwa maana ya huru, leo hii Sabaya angekuwa jela kwa uchache sio chini ya 20yrs.
Mmepewa nafasi hiyo maamuzi yametoka kuwa zile ni sanaa tu.
 
Huyo acheni aangue hata maembe
 
Hakuna kukaa kimya yaani naona jambazi anatetewa nikae kimya?

You should be ashamed of yourself.
Wewe ndio uwe na aibu kuzungumza mambo ambayo huna uhakika nayo ukiambiwa uthibitishe.

Bendera fuata upepo tu.

While you know nothing.
 
Ge
General analiaje?
 
Mtu anateseka namna hii kwa ajili ya kufurahisha wengine.

Haya madaraka ni ya muda tu.

Kama sio wao ni watoto au wajukuu wao. Will experience the same treatment.
Yeye alivyokuwa anawapigilia watu misumari kwenye ugoko wao hawakuwa wanateseka? Huyu mjinga alifanya umafia sana na siyo wa kuhurumiwa hata kidogo, ikiwezekana ahukumiwe kifungo cha maisha.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mmepewa nafasi hiyo maamuzi yametoka kuwa zile ni sanaa tu.

Kwa mahakama hizi nashangaa hadi sasa yuko magereza, ukiwa mwanaccm una kinga ya kufanya maovu. Huyo huenda alipishana na mama Samia kipindi akiwa kileleni kwenye utawala wa dhalimu. Nakumbuka mmoja ya watu waliokutana na kiburi cha madaraka cha Sabaya, ni marehemu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mama Ana Mghwira.
 
Jamani serikali iache kumtesa kwa makusudi kijana wa watu, kama selo kashakaa sana.. mateso aliypata yanatosha, ifike mahali mahakama tukufu imuhukumu kifo anyongwe apumzike kijana wa watu..
 
Kesi ya sabaya ni ya kisiasa tu


This administration knows.

Kutumia madaraka kutesa watu.
Kipindi akiwa madarakani alitumia Nyenzo Gani kutesa aliowatesa? The same instrument siyo? Madaraka si milele, alijue hilo! By the way ccm ni ileile haijabadilika awe mpole na aiendee kistaarabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…