Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Halafu ni kawaida yaoUvimbe umevimba siku moja nilidhani ni nundu.
Imeelezwa kuwa Ole Sabaya anaumwa, kesi yaahirishwa hadi tarehe 4/11/2021
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo Jumatano Novemba 3, 2021 imeahirishwa hadi kesho kwa kuwa Sabaya ni mgonjwa. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana shauri la Sabaya lilipanga kuendelea kusikilizwa leo ambapo shahidi...