Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Halafu ni kawaida yaoUvimbe umevimba siku moja nilidhani ni nundu.
Huo uvimbe una uhusiano gani na kazi? Kwani alikuwa akifanya kazi ya kupasua mawe kwa kutumia kichwa?Mahakama imeombwa kusikiliza kwa haraka Kesi ya mh Ole Sabaya kwa sababu mtuhumiwa huyo ni mgonjwa.
Wakili wa Ole Sabaya amesema mteja wake ana uvimbe kichwani alioupata akiwa kazini
Source ITV habari
Afe!!! Amfuate alie kuwa akimtuma.. Waka anzishe genge jingine huko.Mahakama imeombwa kusikiliza kwa haraka Kesi ya mh Ole Sabaya kwa sababu mtuhumiwa huyo ni mgonjwa.
Wakili wa Ole Sabaya amesema mteja wake ana uvimbe kichwani alioupata akiwa kazini
Source ITV habari
Urekebishwe na nani, pambana tu na hali yako.Nijuwavyo, mshitakiwa akiugua kesi inasogezwa mbele au inaghairshwe hadi apone... Hili la kusikiliza kesi kwa mwendokasi kisa mshitakiwa mgonjwa kwangu ni jipya.. Nirekebishwe kama nimekosea
Urekebishwe na nani, pambana tu na hali yako.
Hakuna marekebisho hapo, nikama kesi ya mbowe tu ilivyo kwenda first ili awahi juice magogoni.Nijuwavyo, mshitakiwa akiugua kesi inasogezwa mbele au inaghairshwe hadi apone... Hili la kusikiliza kesi kwa mwendokasi kisa mshitakiwa mgonjwa kwangu ni jipya.. Nirekebishwe kama nimekosea
Kama hatukushangaa mtuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huyo sabaya pia anaweza kuachiwa tu ilimradi ni mtuhumiwa.Huyu si alitakiwa kuwa jela anakula mvua yake ya 30....
Mkuu ungewahi mahakamani ukatoe ushahidi wa huo ujambaziwake ingeleta maana badala ya kutomboka humu kama njegima.Huo uvimbe aliupata akiwa kwenye kazi zake za ujambazi au akiwa DC hapo Hai maana alikua na kazi nyingi huyo kibaka.
Kwa hiyo sijakoseaHakuna marekebisho hapo, nikama kesi ya mbowe tu ilivyo kwenda first ili awahi juice magogoni.
Bwashe hii iendane ba uthibitisho wa Daktari ambaye hana vinasaba vya ulegacy.Mahakama imeombwa kusikiliza kwa haraka Kesi ya mh Ole Sabaya kwa sababu mtuhumiwa huyo ni mgonjwa.
Wakili wa Ole Sabaya amesema mteja wake ana uvimbe kichwani alioupata akiwa kazini
Source ITV habari
Bwashe hii iendane ba uthibitisho wa Daktari ambaye hana vinasaba vya ulegacy.Mahakama imeombwa kusikiliza kwa haraka Kesi ya mh Ole Sabaya kwa sababu mtuhumiwa huyo ni mgonjwa.
Wakili wa Ole Sabaya amesema mteja wake ana uvimbe kichwani alioupata akiwa kazini
Source ITV habari
🤣🤣🤣Uvimbe umevimba siku moja nilidhani ni nundu.
ijumaa utajua hujuiKesi kubwa aliokuwa nayo Sabaya ni ile alioshinda rufaa. Hizi zingine ni kesi uchwara za kumchelewesha kurudi uraiani.
Kuna watu ukifikiria akili zao haziko tofauti na za Sabaya.Hata mimi nashangaa,unasema Mashtaka ya kitoto wakati mwenzako analala saa 12 jioni kwa Filimbi na kuamshwa saa 12 asubuhi kwa Filimbi,lile Bata alilozoea kulila pale Arusha kwenye mahoteli na maeneo mbalimbali ya starehe halipo tena halafu wewe unasema Mashtaka ya kitoto,akili zako zipo matakoni