Je sabaya akiulizwa yeye ndiye alitaka kumuuwa Mbowe analo la kujitetea? na kuaminisha mahakama sio kweli?
Aliyesema "nyani haoni kundule" aliwalenga pia hawa jamaa:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je sabaya akiulizwa yeye ndiye alitaka kumuuwa Mbowe analo la kujitetea? na kuaminisha mahakama sio kweli?
Sijui Mataga wanakuelewa?Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Tuhuma za kesi ya Mbowe ni za July 2020 na Sabaya kasema amenunua bastola March 2021 kwasababu ya maadui wa kisiasa.Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.
Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.
Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?
N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
We mburula acha upuuzi. Ugaidi unaweza kufanyika hata kwa buku mbili. Kununua bastola Sabaya mwezi machi sio sababu ya kutokuwa na magaidi huko nyuma.Tuhuma za kesi ya Mbowe ni za July 2020 na Sabaya kasema amenunua bastola March 2021 kwasababu ya maadui wa kisiasa.
Hivi kwa akili tu mataga pori wa kawaida kabisa, unaweza kuonyesha connection hapo???
Ugaidi wenye thamani ya laki 6 🤣🤣🤣
Sabaya kwenye hoja yupo vizuri, karibu kusikiriza kesi yanavyo jimwambafaiAwe na Evidence, Sio tu kusema kwa Maneno.
Huku bara tunataka maendeleo ya watu sio vitu. Tuwekewe pesa mfukoni hatuwezi kula gorofa sabini!Ni bongo movie tu.
Kule Zanzibar wanaume wanajenga jengo lenye ghorofa 70 tena baharini!
Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.
Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.
Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?
N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Si itakuwa 3-3 tu? Kwani na Sabaya si ana kesi za namna hiyohiyo zinamkabili huko hai? Hivyo, ile ligi walifanyiana jimboni, itahamia mahakamani. Laiti haki ikitendeka,tutajua mkweli ni nani.Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.

Masikini mataga poriWe mburula acha upuuzi. Ugaidi unaweza kufanyika hata kwa buku mbili. Kununua bastola Sabaya mwezi machi sio sababu ya kutokuwa na magaidi huko nyuma.
Uzi ufungwe tu huu maana kwa ulivyoweka hapa na kwa charge sheet ile simuoni shahudi wa maana isipokuwa tunacheleweshana kwenda kunywa kahawa tu 🙌🙌🙌🙌Ushahidi wake hautakua na mashiko, asubuhi na mapema upande wa utetezi (Kibatala na Wenzake) watampa za uso na kumjeruhi kisawasawa.
Kwanza wataanza kumrarua rarua na Character Assassination, watamchafua kwa kuwa na rekodi za kutenda makosa ya jinai (Criminal Records), matumizi mabaya ya Ofisi za Umma kama kiongozi mteule, na uonevu kwa raia.
Pili, baada ya kumrarua kwa kutumia rekodi zake za jinai, watampasua pasua kwenye mashiko ya ushahidi wake (Credibility Of Witness & Evidence), wataishawishi mahakama kwamba sio shahidi wa kuaminika kutokana na historia yake, hatokua shahidi wa kuaminika na mahakama (Sio Credible Witness).
Asipokua makini, watamkunja kunja na anaweza hata kuishia kujitia (Inciminate) yeye mwenyewe kwenye makosa ya jinai mengine. Anaweza kujizulia matatizo mengine.
Kibatala (Wakili Kiongozi), Generali Ulimwengu (Wakili Kivuli) na Fatma Karuma (Wakili Kivuli), Tundu Lissu (Wakili Kivuli) na kuna mawakili wengine wanaomtetea Freeman Mbowe ni wauwaji kwenye kupiga maswali mashahidi.
Ni upumbavu wa kiwango cha lami kumpeleka Ole Sabaaya kama shahidi wa Jamhuri. Anaweza akaiharibu kesi kwa upande wa Jamhuri badala ya kuitengeneza kesi.
NOTE THAT: Ole Sabaaya akiulizwa; Wewe ni mhalifu na una rekodi ya kutenda makosa ya jinai na kuvunja uaminifu wako wa kiapo, kwanini mahakama ikuamini kama awali uliwahi kuaminiwa na hukuaminika?
*Wakili kivuli ni ambae hasimami yeye kama yeye mbele ya mahakama kwenye kesi, ila ushauri na mtazamo wake unatumika na mawakili wengine kwenye kesi.
IGP Sirro na Ole Sabaaya kama watatoa ushahidi basi ndio watakaompa ushindi Freeman Mbowe katika kesi hii.
Ugaidi unatokana na kutaka kulipua vituo vya police na vya mfutaBado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Binafsi nadhani kuna mahali tunakwama kabisa?Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.