Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.

Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.

Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?

N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
picha za cctv Aishi hotel tunazo, Saambovu atatwambia nani alikuwa akijaribu kumdhuru mwenzie?! Janja atakutana na janjuzi
 
Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.

Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.

Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?

N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Kwa nini tuandikie mate na wino upo? Jambo bora ni kusubiri mpaka iwe hivyo na hapo tutaona mambo yatakavyokuwa.
 
Si Sabaya tu.

Unaonaje na wewe kama ukienda kuongezea kwa Sirro kuwa na wewe ulikuwa kwenye list hiyo ya kuuliwa?

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Na wale wote akina Mnyeti, RPC na OCD wa Hai wakati huo waliomfanyia ubaya Mbowe, waje.
 
Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.

Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.

Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?

N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Kwani Mwigulu ye si ndo ana ushahidi WA mbinguni Na duniani?Sabaya chambazi chugu Tu.
 
Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.

tupe elimu ya tafsiri ya ugaidi..
 
We mburula acha upuuzi. Ugaidi unaweza kufanyika hata kwa buku mbili. Kununua bastola Sabaya mwezi machi sio sababu ya kutokuwa na magaidi huko nyuma.
Hakuna umbulula hapo we kenge wa kijani.... mtadanganya mataahira wenzenu sio kila mtu.. na in fact wewe ni mnufaika wa nzi wa kijani unakuja hapa kujastify utopolo na ugoro wako

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Kesi ya gaidi mbowe Ni kutaka kulipua vituo vya mafuta na kulipua mikusanyiko ya watu huo ndio ugaidi, siyo kutaka kumuua sabaya.
 
Ni bongo movie tu.

Kule Zanzibar wanaume wanajenga jengo lenye ghorofa 70 tena baharini!
Karibu Zanzibar
JamiiForums-355828605.jpg
 
a person who uses unlawful violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa tafsiri za haraka hapa kuna civilians hakuna civil sasa ugaid hapo HAKUNA vilaza wa kijani ujue hilo
 
Kwa hiyo Mbowe ndiye aliye mvuruga kiasi cha kwenda kuvamia maduka ya watu na kupora mali!! baada ya kupanga kumuua na kumdhuru!!

Bila shaka una mahaba niue kwa Sabaya. Ngoja kwanza ale mvua za kutosha mwezi ujao, then akili yako itatulia tu.
Uzuri huko gerezani watakaa selo moja na mwenyeki gaidi.
 
Mkuu kwa thread yake ilivokaa unadhani kakuelewa kweli hayo maelezo yako? Maana naona kakaa kishabiki shabiki Sanaa.
Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
 
Huku bara tunataka maendeleo ya watu sio vitu. Tuwekewe pesa mfukoni hatuwezi kula gorofa sabini!
Sema Wana Saccos wameshikiwa akili na tundu ndo maana Kila nyumbu anaropoka eti maendeleo ya watu siyo ya vitu wakati tundu kakimbia na ndege(vitu) kwenda kwa beberu lake Amsterdam ambalo kwa Sasa limempa talaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],beberu limeona hana dili tena,.Hana miaka 2,lazima arudi tz,maana maisha yatakuwa magumu
 
Back
Top Bottom