Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Sijui Mataga wanakuelewa?
 
Tuhuma za kesi ya Mbowe ni za July 2020 na Sabaya kasema amenunua bastola March 2021 kwasababu ya maadui wa kisiasa.
Hivi kwa akili tu mataga pori wa kawaida kabisa, unaweza kuonyesha connection hapo???

Ugaidi wenye thamani ya laki 6 🀣🀣🀣
 
We mburula acha upuuzi. Ugaidi unaweza kufanyika hata kwa buku mbili. Kununua bastola Sabaya mwezi machi sio sababu ya kutokuwa na magaidi huko nyuma.
 
Ni bongo movie tu.

Kule Zanzibar wanaume wanajenga jengo lenye ghorofa 70 tena baharini!
Huku bara tunataka maendeleo ya watu sio vitu. Tuwekewe pesa mfukoni hatuwezi kula gorofa sabini!
 
Asipayuke kama alivyopuyanga kwamba alitumwa na mwendazake. Awe na ushahidi. Japo bado ushahidi utakuwa wa kupuyanga
 
Sabaya huyu huyu wa Kisongo?
 
Si itakuwa 3-3 tu? Kwani na Sabaya si ana kesi za namna hiyohiyo zinamkabili huko hai? Hivyo, ile ligi walifanyiana jimboni, itahamia mahakamani. Laiti haki ikitendeka,tutajua mkweli ni nani.
 
Si itakuwa 3-3 tu? Kwani na Sabaya si ana kesi za namna hiyohiyo zinamkabili huko hai? Hivyo, ile ligi walifanyiana jimboni, itahamia mahakamani. Laiti haki ikitendeka,tutajua mkweli ni nani.
 
Shahidi wa serikali mwenye kesi ya jinai hii kesi hakim alipaswa awe Pontio Pilato
 
Uzi ufungwe tu huu maana kwa ulivyoweka hapa na kwa charge sheet ile simuoni shahudi wa maana isipokuwa tunacheleweshana kwenda kunywa kahawa tu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ug
Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Ugaidi unatokana na kutaka kulipua vituo vya police na vya mfuta
Ya lengai ni kujaribu kuuwa viongozi.
 
Binafsi nadhani kuna mahali tunakwama kabisa?
Hivi ni jukumu la DC kumshughulikia kisiasa Mbunge wa Wilaya aliyoteuliwa kuiongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…