Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Ni kweli wanatofauti sana na sisi, wenzetu wako somehow homogeneous, sisi huku ni so many nations (tribes) bundled together still undergoing melting process .Hahahaaaa...... Kwenye swala la maendeleo huwa nawakubali sana wazanzibari!
Tuliza makalio we bwege.Uzi ufungwe tu huu maana kwa ulivyoweka hapa na kwa charge sheet ile simuoni shahudi wa maana isipokuwa tunacheleweshana kwenda kunywa kahawa tu 🙌🙌🙌🙌
Namlaumu sana mbowe kwa kushindwa kutuondolea duniani firauni linaloitwa sabaya
Kwa kuwa umezoea kutomaswa makalio basi na akili zako zimekaa kimakaliomakalio tuTuliza makalio we bwege.
picha za cctv Aishi hotel tunazo, Saambovu atatwambia nani alikuwa akijaribu kumdhuru mwenzie?! Janja atakutana na janjuziKatika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.
Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.
Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?
N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Kwa nini tuandikie mate na wino upo? Jambo bora ni kusubiri mpaka iwe hivyo na hapo tutaona mambo yatakavyokuwa.Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.
Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.
Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?
N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Si Sabaya tu.
Unaonaje na wewe kama ukienda kuongezea kwa Sirro kuwa na wewe ulikuwa kwenye list hiyo ya kuuliwa?
Kwani Mwigulu ye si ndo ana ushahidi WA mbinguni Na duniani?Sabaya chambazi chugu Tu.Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.
Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.
Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?
N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Kwani Mwigulu ye si ndo ana ushahidi WA mbinguni Na duniani?Sabaya chambazi chugu Tu.Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa.
Tumepigwa na butwaa kumbe maadui wa Sabaya ni Mbowe na genge lake. Sasa wapo mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumdhuru Sabaya na ugaidi.
Mmoja wa mashaidi wa utetezi ni Sabaya Ole Sangai. Je akifika mahakani akasema Mbowe na wenzake walipanga kumuua na kumdhuru utetezi wa akina Mbowe utakaa vipi?
N.b Sabaya alimshughulikia kisiasa Mbowe huko Hai mpaka akanyoosha mikono.
Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Hakuna umbulula hapo we kenge wa kijani.... mtadanganya mataahira wenzenu sio kila mtu.. na in fact wewe ni mnufaika wa nzi wa kijani unakuja hapa kujastify utopolo na ugoro wakoWe mburula acha upuuzi. Ugaidi unaweza kufanyika hata kwa buku mbili. Kununua bastola Sabaya mwezi machi sio sababu ya kutokuwa na magaidi huko nyuma.
Kesi ya gaidi mbowe Ni kutaka kulipua vituo vya mafuta na kulipua mikusanyiko ya watu huo ndio ugaidi, siyo kutaka kumuua sabaya.Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Karibu ZanzibarNi bongo movie tu.
Kule Zanzibar wanaume wanajenga jengo lenye ghorofa 70 tena baharini!
Uzuri huko gerezani watakaa selo moja na mwenyeki gaidi.Kwa hiyo Mbowe ndiye aliye mvuruga kiasi cha kwenda kuvamia maduka ya watu na kupora mali!! baada ya kupanga kumuua na kumdhuru!!
Bila shaka una mahaba niue kwa Sabaya. Ngoja kwanza ale mvua za kutosha mwezi ujao, then akili yako itatulia tu.
Bado haita kuwa justification ya ugaidi. Bali itakuwa jaribio la kutaka kudhuru mwili. Hata Mbowe angemuua Sabaya na ikagundulika kweli kamuua bado hiyo ni kesi ya mauaji na sio ugaidi. Tafsri ya ugaidi ni pana zaidi ya hapo.
Ndugu kinachokupa kiburi nini haswa mkuu hata ufikie hatua hii kwangu? Pole Sana ndugu NakuhurumiaTuliza makalio we bwege.
Sema Wana Saccos wameshikiwa akili na tundu ndo maana Kila nyumbu anaropoka eti maendeleo ya watu siyo ya vitu wakati tundu kakimbia na ndege(vitu) kwenda kwa beberu lake Amsterdam ambalo kwa Sasa limempa talaka.Huku bara tunataka maendeleo ya watu sio vitu. Tuwekewe pesa mfukoni hatuwezi kula gorofa sabini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],beberu limeona hana dili tena,.Hana miaka 2,lazima arudi tz,maana maisha yatakuwa magumuSema Wana Saccos wameshikiwa akili na tundu ndo maana Kila nyumbu anaropoka eti maendeleo ya watu siyo ya vitu wakati tundu kakimbia na ndege(vitu) kwenda kwa beberu lake Amsterdam ambalo kwa Sasa limempa talaka.