Sabaya alitia chumvi kwenye Engine gari la Mbowe

Mme kasahau ka Patrobas Katambi kalivyo kuwa kaaitisha vyombo vya habari kumchafua Mbowe na Lisu sasahivi kamejificha kwenye mti wa muhindi
Hapa JF wapo waliopewa kazi maalum (specialised) ya kutandaza “ubaya” wa Mbowe tu. Ni watu wasiokuwa na chembe ya integrity.

Ni vyema kuwa wanaomfahamu Mbowe vizuri kama Slaa, Kafulila, n.k. huwa wanajirudi na kukaa kimya mambo yao yakiwa sawa.
 
Jamaa ana roho mbaya sana. Kuwa mpinzani ndani ya nchi hii yataka moyo wa chuma.
Kwanini uwe mpinzani kwenye nchi?wote lengo letu Ni moja kuijenga Tanzania ya Leo iwe Bora,Mama yetu SSH anafanya kazi kwa weredi kwaio sioni Kama upinzani una tija kwa sasa
 
Kama alikuwa anafanya haya yote kwa kisingizio eti katumwa basi akili zake hazina akili zakutosha, hata huko kwa mkewe atakuwa punguani hivyo hivyo
 
Ubaya anafanyiwa na maafisa magereza huko saa hizi .... sio sisi shekh wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…