Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Hapa JF wapo waliopewa kazi maalum (specialised) ya kutandaza “ubaya” wa Mbowe tu. Ni watu wasiokuwa na chembe ya integrity.Mme kasahau ka Patrobas Katambi kalivyo kuwa kaaitisha vyombo vya habari kumchafua Mbowe na Lisu sasahivi kamejificha kwenye mti wa muhindi
Ni vyema kuwa wanaomfahamu Mbowe vizuri kama Slaa, Kafulila, n.k. huwa wanajirudi na kukaa kimya mambo yao yakiwa sawa.