Sabaya aliwahi nikata makofi wakati sikuwa mkosaji. Nimemsamehe

Kama ulishamsamehe usingesema hapa!

Sidhani kama angeachiwa huru ungekuwa na amani uliyonayo sasa.
 
Nimepata funzo hapa kupitia wewe kuwa kama kuna jambo halikuhusu usipeleke pua yako unaweza ukalamba makofi bila kutarajia.

Wewe hukuwa chadema wala ccm,sasa eneo la mkutano wa kisiasa ulienda fata nini kama sio ulimiss makofi ya uso kutoka kwa comrade Sabaya
 
Ndugu mtu anakuchapa makofi unamtazama tu au labda 2019 ulikuwa bado kijana wa form 4
 
Pole sana, ni true story?
 
Pole mkuu
 
Pole sana, ni true story?
Sijawah kuja hapa kuongea uwongo mkuu. Huyu jamaa alijisahau mwenyewe sidhani hata kama alkuwa anaagizwa, ila nahisi alitumia udhaifu wa magufuli kuchukia upinzani na ile ya kudeal na wakwepa kodi yeye akajiongeza na akazidisha. Sabaya aisee kwa asiye mjua atatetea ila ni shetani kabisa
 
Hongera Sana kwa kuwa na moyo wa kusamehe.
 
Dah, simjui freshi Sabaya, ila lazima jamaa alikuwa kirambasi, sio kwa hii outcry
 
Hongera Sana kwa kuwa na moyo wa kusamehe.
Alinidhalilisha sana skuile, skuwa na lakumfanya kwa kuogopa ntaweza umizwa na yeye kama niktumia hasira na ule uoga wa watu wakimgwaya kuwa ni usalama wa taifa pia utawala wa magufuli ulivokuwa nahis ningenrudishia ningepata dhoruba kubwa. Nashkuru kwa alchokifanya na nimeshamsamehe atajijua huko jela maskani kwake kisongo
 
Dah!!!, Inahitaji ujasiri mkubwa kumsamehe mtu aliyekukosea.
 
Wachaga kwenye kulinda CHADEMA mko imara Sana , kumbe ma-DC wanaendesha magari siku hizi

USSR

Kwani ma DC hawaruhusiwi kuendesha Magari?
Mbona umeandika pumba Sana we fala,
Ila ndio akili zako zilivyo kisoda
 
Imeniuma sna kwani sabay kufungwa miaka 30 hakika nimenufaika na sabaya kwa namna fln nikiwa singida alinilipia kunyoa na kununua kuku wa kuchoma wanne tukaenda nae kula Hapo amenity lodge aliko fikia ..hakika tulifurahi mm na rfk angu ambae alinitambulisha kwa sabaya mpk Sasa cwez kusahau tukio lile Lkn pia alivyokuja dar kuojiwa na clouds nilikutana nae na alinipata pesa pia za kupunguza ukali wa maisha all most laki sita HV cwezi kumsahau ..pmj na mambo aliyotendea wengine mm nimenufaika kwa namna fln .. cna uadui nae
 
Alikuita kwenye gari lake akakuzaba kibao huku watu wakishuhudia na wakashangaa then akawasha ndinga yake V8 akasepa!
 
Hongera unamoyo wa kipekee saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…