Gwimka
Senior Member
- Apr 4, 2021
- 101
- 112
Kila kiumbe kitavuna kilichopanda. Yeye alipanda makofi na uonevu basi ni hivyo hivyo ndivyo atakavyovuna. Mungu aelekeze hukumu yake kulingana na matendo aliofanyia wenzie. Ameen
Duh mtu akipata mitihani mengi husemwa