Sabaya anaonekana kama mtu anayejuta na aliyejawa kisasi

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
570
Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari.

Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu. Anajuta sana, amejifunza maisha halisi ya kitaa na mwonekano mwingine anaonekana mwenye kisasi hata tabasam analazimisha.

Wewe unamwonaje?
 
Hii Kenge ilijua kabisa haya yatatokea, kumbuka alivyolia siku ya msiba wa Jiwe.

Huyu jamaa na wenzake sababu ya matendo yao walijua kabisa baada ya msiba dunia inawageuka.

Wala usisema Sabaya anajutia matendo yake, labda useme anajuta kwanini Magu alifariki.
 
Mimi sijamuona, labda niulize kale ka card ka TISS kalikuwa ka kuforge au ni kakweli.
Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari.Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu.Anajuta sana,amejifunza maisha halisi ya kitaa,na mwonekano mwingine anaonekana mwenye kisasi hata tabasam analazimisha.Wewe unamwonaje?
Jambo jingine ukikosea kisheria hakuna huruma, utatumikia Muda wako kutokana na makosa uliyofanya, mengine kuhusu unaonekanaje ni hapo utakapotoka.

Na ukitoka ukifanya kinyume na Sheria, unakamatwa Tena. Utakwenda kizimbani utasomewa kosa na kwamba hujajitunza utarudi hukohuko. Ni kama mduara urazunguka, ukitaka utatoka
 
Screenshot_20211018-074702.jpg
 
Hii Kenge ilijua kabisa haya yatatokea, kumbuka alivyolia siku ya msiba wa Jiwe.

Huyu jamaa na wenzake sababu ya matendo yao walijua kabisa baada ya msiba dunia inawageuka.

Wala usisema Sabaya anajutia matendo yake, labda useme anajuta kwanini Magu alifariki.
Ndo ajifunze kuwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na Moyoni amemwacha Mungu.
 
Hii Kenge ilijua kabisa haya yatatokea, kumbuka alivyolia siku ya msiba wa Jiwe.

Huyu jamaa na wenzake sababu ya matendo yao walijua kabisa baada ya msiba dunia inawageuka.

Wala usisema Sabaya anajutia matendo yake, labda useme anajuta kwanini Magu alifariki.
Mwonekano halisi wa umbo lake ndiyo waonekana sasa nje ya mamlaka.Nashauri sote tuishi kwa kuheshimiana tusitumiye mamlaka kiburi.Vyeo ni mapambo ya kuazima.
 
Namtafuta ndugu yako anaitwa Emmanuel Mbano
 
Mimi sijamuona, labda niulize kale ka card ka TISS kalikuwa ka kuforge au ni kakweli.

Jambo jingine ukikosea kisheria hakuna huruma, utatumikia Muda wako kutokana na makosa uliyofanya, mengine kuhusu unaonekanaje ni hapo utakapotoka.

Na ukitoka ukifanya kinyume na Sheria, unakamatwa Tena. Utakwenda kizimbani utasomewa kosa na kwamba hujajitunza utarudi hukohuko. Ni kama mduara urazunguka, ukitaka utatoka
Pia mimi huwa ninajiuliza kuhusu kale ka ID ka TISS undercover, niaje, niaje,
 
Back
Top Bottom