Sabaya anaonekana kama mtu anayejuta na aliyejawa kisasi

Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari.

Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu. Anajuta sana, amejifunza maisha halisi ya kitaa na mwonekano mwingine anaonekana mwenye kisasi hata tabasam analazimisha.

Wewe unamwonaje?
Wacha apigike kima huyu alijiona Mungu mtu kwa sababu ya kuzungumza direkt na mdhamini wake hata akienda kubaka mke wa mtu anapiga simu ikulu anasema anatokomeza wapinzani mzee anakiga vigelegele. Vilio vya aliowatenda mabaya na nguvu za Mungu kumpiga chini yule mzee ndiyo vinamfanya awe mrembo na mpole anasema laiti ningelijua kuwa huyu mzee atakata moto soon nisingelijidai kijogoo ona sasa nimekuwa tetere
 
Najiuliza kwa nini hakusepa?!

Au anangojea kusafishwa?

Sinema hizo..
 
Hata mje na majani ya maboga na mitarakwa na machozi yenu havisaidii hata wale aliowatenda unyama na kuwabaka ujambazi ubabe na yote mabaya walilia machozi wao, ndugu, jamaa na watu wa karibu yao, Mungu hacheki cheki wala halali mngekwenda ofisini kwa huyu kenge au mngemuita nyumbani kwenu mkamuonya kwa matendo yake ya kinyama au mngekwenda kwa magufuli kumwambia anampeleka mtoto wenu kubaya sasa hivi mnaomba samia aingilie kati mnataka na ndugu aliowatendea maovu wamwombe nini sasa huyo samia?
 
Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari.

Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu. Anajuta sana, amejifunza maisha halisi ya kitaa na mwonekano mwingine anaonekana mwenye kisasi hata tabasam analazimisha.

Wewe unamwonaje?
Jamaa anafungwa.
 
Hata mje na majani ya maboga na mitarakwa na machozi yenu havisaidii hata wale aliowatenda unyama na kuwabaka ujambazi ubabe na yote mabaya walilia machozi wao, ndugu, jamaa na watu wa karibu yao, Mungu hacheki cheki wala halali mngekwenda ofisini kwa huyu kenge au mngemuita nyumbani kwenu mkamuonya kwa matendo yake ya kinyama au mngekwenda kwa magufuli kumwambia anampeleka mtoto wenu kubaya sasa hivi mnaomba samia aingilie kati mnataka na ndugu aliowatendea maovu wamwombe nini sasa huyo samia?
Samia sio Mungu.. huyu anatumiakia kifungo Cha makosa kimungu.

Malipo ni hapahapa duniani ndio kinachofanyika
 
Mnatupotezea muda kusoma upuuzi .

Huyo ilibidi apigwe risasi moja tu ya utosini aende akawe msaidizi wa malaika mkuu
 
Nina huruma sana ila huyu jamaa sijawahi kumuonea huruma.

Apigwe mvua hata miaka ishirini akili ikae sawa.
 
Back
Top Bottom