Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
Mimi kama weweWewe unamwonaje?
Jambo jingine ukikosea kisheria hakuna huruma, utatumikia Muda wako kutokana na makosa uliyofanya, mengine kuhusu unaonekanaje ni hapo utakapotoka.Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari.Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu.Anajuta sana,amejifunza maisha halisi ya kitaa,na mwonekano mwingine anaonekana mwenye kisasi hata tabasam analazimisha.Wewe unamwonaje?
Ndo ajifunze kuwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na Moyoni amemwacha Mungu.Hii Kenge ilijua kabisa haya yatatokea, kumbuka alivyolia siku ya msiba wa Jiwe.
Huyu jamaa na wenzake sababu ya matendo yao walijua kabisa baada ya msiba dunia inawageuka.
Wala usisema Sabaya anajutia matendo yake, labda useme anajuta kwanini Magu alifariki.
Ogopa sana mtu anaelia jicho moja tu,lingine halitoi machozi.
Veep maana akeOgopa sana mtu anaelia jicho moja tu,lingine halitoi machozi.
Punguza kuhadaaOgopa sana mtu anaelia jicho moja tu,lingine halitoi machozi.
Sina picha ila angalia picha zake hata youtubeWeka Picha....
Weka Picha....
Mwonekano halisi wa umbo lake ndiyo waonekana sasa nje ya mamlaka.Nashauri sote tuishi kwa kuheshimiana tusitumiye mamlaka kiburi.Vyeo ni mapambo ya kuazima.Hii Kenge ilijua kabisa haya yatatokea, kumbuka alivyolia siku ya msiba wa Jiwe.
Huyu jamaa na wenzake sababu ya matendo yao walijua kabisa baada ya msiba dunia inawageuka.
Wala usisema Sabaya anajutia matendo yake, labda useme anajuta kwanini Magu alifariki.
Pia mimi huwa ninajiuliza kuhusu kale ka ID ka TISS undercover, niaje, niaje,Mimi sijamuona, labda niulize kale ka card ka TISS kalikuwa ka kuforge au ni kakweli.
Jambo jingine ukikosea kisheria hakuna huruma, utatumikia Muda wako kutokana na makosa uliyofanya, mengine kuhusu unaonekanaje ni hapo utakapotoka.
Na ukitoka ukifanya kinyume na Sheria, unakamatwa Tena. Utakwenda kizimbani utasomewa kosa na kwamba hujajitunza utarudi hukohuko. Ni kama mduara urazunguka, ukitaka utatoka
njoo inboxNamtafuta ndugu yako anaitwa Emmanuel Mbano
Hiki ilikuwa kipindi cha neema
Ninayemtafuta ana miaka 22. Same person?njoo inbox