Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa.

Akihojiwa na wakili wa Serikali mkuu, Tumaini Kweka leo Alhamisi Agosti 19, 2021 mbele ya hakimu mkazi mwandamizi, Odira Amworo, Sabaya amesema silaha hiyo alianza kuimiliki Machi 24, 2021.

Sehemu ya mahojiano hayo alikuwa hivi;

Wakili: Tusaidie katika ushahidi wako wa msingi umeieleza mahakama unamiliki silaha

Sabaya: ni sahihi

Wakili: Unamiliki silaha ya aina gani

Sabaya: Hakimu kwa sababu ni kifaa cha moto sijui kitatumikaje nikieleza kilivyo.

Wakili: Nataka kujua ni silaha

Sabaya: Kwa usalama wa silaha hiyo na kwa sababu nipo gerezani naomba nisieleze silaha gani. Ni silaha ndogo inaitwa Glock 17

Wakili:Utakubaliana na mimi kwa Kiswahili inaitwa bastola

Sabaya: Hapana

Wakili: Ulikua unaimiliki kwa shughuli gani

Sabaya: matumizi ya ulinzi binafsi

Wakili: Unapokuwa wapi

Sabaya: Ninapokuwa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro

Wakili: Hai ulikuwa una maadui

Sabaya: Ndiyo mheshimiwa hakimu

Wakili: Ulianza kumiliki lini?

Sabaya: Nilianza kuimiliki Machi 24, 2021

Wakili: Kwenye ushahidi wako wa msingi siku ukiondoka kuja Arusha Februari 9, 2021 uliacha silaha yako nyumbani Bomang'ombe.Ni sahihi siku ile ulikuwa ukimiliki silaha?

Sabaya: Sikuwahi kumiliki silaha ya moto kwa wakati huo nilikuwa na silaha ila haikuwa silaha ya moto

Wakili: Una watoto wangapi

Sabaya: Kwa sababu nimeshasema familia iko kwenye risk. Naomba nisitaje watoto wala idadi

Wakili: Lengai nikurudishe kwenye swali dogo wakati unatoka Hai saa 9 kuja Arusha na hiyo timu yako ulipita wapi

Sabaya: Nilipitia Kia barabara ya Mirerani nikaja Arusha

Wakili: Kwanini ulipita huko usipite barabara ya kawaida Moshi -Arusha

Sabaya: Napitia barabara yoyote kwa usalama wangu kwa sababu natishiwa kuuawa

Wakili: Kwanini ulikuwa unatishiwa kuuawa na wewe ni kiongozi wa watu

Sabaya: Kwa sababu ya aina ya majukumu niliyokuwa nafanya siasa za Arusha na Hai

Wakili: Umefika Arusha mlipokuwa mnaenea na timu yako alimkuta shahidi wa nne Hajirin Saad Hajirin, ulimuona?

Sabaya: Ndio nilimuoma hapa mahakamani

Wakili: Wewe unafahamaniana naye

Sabaya: Hapana

Wakili: Una ugomvi naye

Sabaya: Kama simfahamu siyo rafiki wala adui

Wakili: Na yule shahidi wa pili kutoa ushahidi wake akasema alikuona Shahidi Store (dukani) una ugomvi naye au unamfahamu?

Sabaya: Simfahamu na hapo Shahidi Store sipafahamu

Sabaya na wenzake wawili Sylvester Nyegu na Daniel Mbura wanashtakiwa kwa makosa matatu ya unyang'anyi wa kutumia silaha katika duka la Mohamed Saad eneo la bondeni jijini Arusha Februari 9, 2021.

Mwananchi
 
Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha amefunga utetezi wake leo baada ya mawakili wa jamhuri kumaliza kumhoji huku akiieleza mahakama kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa.

Akihojiwa na wakili wa Serikali mkuu, Tumaini Kweka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi, Odira Amworo wa mahakama ya hakimu mkazi Arusha,Sabaya ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, amesema silaha hiyo alianza kuimiliki Machi 24, 2021.

Hata hivyo Sabaya kabla ya kutaja aina ya silaha anayomiliki aligoma akidai hawezi kueleza aina ya silaha anayomiliki mahakamani,ndipo wakili wake Mosses Mahuna alipoingilia Kati na kumwamuru aitaje.

Sehemu ya mahojiano hayo alikuwa hivi;

Wakili: Tusaidie katika ushahidi wako wa msingi umeieleza mahakama unamiliki silaha

Sabaya: ni sahihi

Wakili: Unamiliki silaha ya aina gani

Sabaya: Hakimu kwa sababu ni kifaa cha moto sijui kitatumikaje nikieleza kilivyo.

Wakili: Nataka kujua ni silaha

Sabaya: Kwa usalama wa silaha hiyo na kwa sababu nipo gerezani naomba nisieleze silaha gani. Ni silaha ndogo inaitwa Glock 17

Wakili:Utakubaliana na mimi kwa Kiswahili inaitwa bastola

Sabaya: Hapana

Wakili: Ulikua unaimiliki kwa shughuli gani

Sabaya: matumizi ya ulinzi binafsi

Wakili: Unapokuwa wapi

Sabaya: Ninapokuwa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro

Wakili: Hai ulikuwa una maadui

Sabaya: Ndiyo mheshimiwa hakimu

Wakili: Ulianza kumiliki lini?

Sabaya: Nilianza kuimiliki Machi 24, 2021

Soma zaidi:Ole Sabaya asomewa maelezo upya, akana

Wakili: Kwenye ushahidi wako wa msingi siku ukiondoka kuja Arusha Februari 9, 2021 uliacha silaha yako nyumbani Bomang'ombe.Ni sahihi siku ile ulikuwa ukimiliki silaha?

Sabaya: Sikuwahi kumiliki silaha ya moto kwa wakati huo nilikuwa na silaha ila haikuwa silaha ya moto

Wakili: Una watoto wangapi

Sabaya: Kwa sababu nimeshasema familia iko kwenye risk. Naomba nisitaje watoto wala idadi

Wakili: Lengai nikurudishe kwenye swali dogo wakati unatoka Hai saa 9 kuja Arusha na hiyo timu yako ulipita wapi

Sabaya: Nilipitia Kia barabara ya Mirerani nikaja Arusha

Wakili: Kwanini ulipita huko usipite barabara ya kawaida Moshi -Arusha

Sabaya: Napitia barabara yoyote kwa usalama wangu kwa sababu natishiwa kuuawa

Wakili: Kwanini ulikuwa unatishiwa kuuawa na wewe ni kiongozi wa watu

Soma zaidi:Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

Sabaya: Kwa sababu ya aina ya majukumu niliyokuwa nafanya siasa za Arusha na Hai

Wakili: Umefika Arusha mlipokuwa mnaenea na timu yako alimkuta shahidi wa nne Hajirin Saad Hajirin, ulimuona?

Sabaya: Ndio nilimuoma hapa mahakamani

Wakili: Wewe unafahamaniana naye

Sabaya: Hapana

Wakili: Una ugomvi naye

Sabaya: Kama simfahamu siyo rafiki wala adui

Wakili: Na yule shahidi wa pili kutoa ushahidi wake akasema alikuona Shahidi Store (dukani) una ugomvi naye au unamfahamu?

Sabaya: Simfahamu na hapo Shahidi Store sipafahamu

Sabaya amefunga utetezi wake Leo baada ya kukamilika mahojiano ya upande wa serikali na baadaye upande wa utetezi ,mshtakiwa wa pili Silvester Nyegu anafuatia Kwa ajili ya kujitetea.

Katika shauri hilo la jinai nambari 105/2021 Sabaya anashtakiwa na wenzake wawili Daniel Mbura na Nyegu Kwa makosa matatu likiwemo la unyang'anyi wa kutumia silaha .

Ends...

IMG_20210819_090122_501.jpg
 
Haya Sasa wale wa Ngarenaro ingia na miguu yakooo🔥🔥🔥🔥
 
Hii case naona Sabaya anaenda kufungwa, Kwanza maelezo yake yanajichanganya sana, mwanzo alisema alienda kwenye duka la shahadia store akiwa kwenye oparesheni maalum ambayo alitumwa na mamlaka za juu, huku kwenye utetezi anakana kuwa hapajui huko
 
Kijana anaupiga mwingi. Aachiwe tu kesi haina mashiko hiyo.
 
Sabaya anakiri kumiliki silaha, na anasema ameanza kuimiliki kuanzia mwezi March, ushahidi uliotolewa dhidi yake ulidai siku anaenda dukani kwa muhindi akiwa na silaha ilikuwa mwezi wa pili.

Hapo jamaa amejaribu kukwepa umiliki wa silaha wakati akivamia dukani, lakini amekiri kutumia silaha nyingine kabla isiyo ya moto ambayo hajaitaja, sijui kwanini hakuulizwa alimiki silaha gani kabla?

Jamaa anakiri alikuwa na maadui, hawajamuuliza kama aliwahi kuripoti polisi, na hao maadui alikuwa nao kuanzia lini? na ni wakina nani? na ni ipi sababu ya kuwa na uadui nao? haya maswali yanafaa kujibiwa ili utetezi wa mtuhumiwa usiache shaka.
 
Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha amefunga utetezi wake leo baada ya mawakili wa jamhuri kumaliza kumhoji huku akiieleza mahakama kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa.

Akihojiwa na wakili wa Serikali mkuu, Tumaini Kweka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi, Odira Amworo wa mahakama ya hakimu mkazi Arusha,Sabaya ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, amesema silaha hiyo alianza kuimiliki Machi 24, 2021.

Hata hivyo Sabaya kabla ya kutaja aina ya silaha anayomiliki aligoma akidai hawezi kueleza aina ya silaha anayomiliki mahakamani,ndipo wakili wake Mosses Mahuna alipoingilia Kati na kumwamuru aitaje.

Sehemu ya mahojiano hayo alikuwa hivi;

Wakili: Tusaidie katika ushahidi wako wa msingi umeieleza mahakama unamiliki silaha

Sabaya: ni sahihi

Wakili: Unamiliki silaha ya aina gani

Sabaya: Hakimu kwa sababu ni kifaa cha moto sijui kitatumikaje nikieleza kilivyo.

Wakili: Nataka kujua ni silaha

Sabaya: Kwa usalama wa silaha hiyo na kwa sababu nipo gerezani naomba nisieleze silaha gani. Ni silaha ndogo inaitwa Glock 17

Wakili:Utakubaliana na mimi kwa Kiswahili inaitwa bastola

Sabaya: Hapana

Wakili: Ulikua unaimiliki kwa shughuli gani

Sabaya: matumizi ya ulinzi binafsi

Wakili: Unapokuwa wapi

Sabaya: Ninapokuwa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro

Wakili: Hai ulikuwa una maadui

Sabaya: Ndiyo mheshimiwa hakimu

Wakili: Ulianza kumiliki lini?

Sabaya: Nilianza kuimiliki Machi 24, 2021

Soma zaidi:Ole Sabaya asomewa maelezo upya, akana

Wakili: Kwenye ushahidi wako wa msingi siku ukiondoka kuja Arusha Februari 9, 2021 uliacha silaha yako nyumbani Bomang'ombe.Ni sahihi siku ile ulikuwa ukimiliki silaha?

Sabaya: Sikuwahi kumiliki silaha ya moto kwa wakati huo nilikuwa na silaha ila haikuwa silaha ya moto

Wakili: Una watoto wangapi

Sabaya:Kwa sababu nimeshasema familia iko kwenye risk. Naomba nisitaje watoto wala idadi

Wakili: Lengai nikurudishe kwenye swali dogo wakati unatoka Hai saa 9 kuja Arusha na hiyo timu yako ulipita wapi

Sabaya: Nilipitia Kia barabara ya Mirerani nikaja Arusha

Wakili: Kwanini ulipita huko usipite barabara ya kawaida Moshi -Arusha

Sabaya: Napitia barabara yoyote kwa usalama wangu kwa sababu natishiwa kuuawa

Wakili: Kwanini ulikuwa unatishiwa kuuawa na wewe ni kiongozi wa watu

Soma zaidi:Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

Sabaya: Kwa sababu ya aina ya majukumu niliyokuwa nafanya siasa za Arusha na Hai

Wakili: Umefika Arusha mlipokuwa mnaenea na timu yako alimkuta shahidi wa nne Hajirin Saad Hajirin, ulimuona?

Sabaya: Ndio nilimuoma hapa mahakamani

Wakili: Wewe unafahamaniana naye

Sabaya: Hapana

Wakili: Una ugomvi naye

Sabaya: Kama simfahamu siyo rafiki wala adui

Wakili: Na yule shahidi wa pili kutoa ushahidi wake akasema alikuona Shahidi Store (dukani) una ugomvi naye au unamfahamu?

Sabaya: Simfahamu na hapo Shahidi Store sipafahamu

Sabaya amefunga utetezi wake Leo baada ya kukamilika mahojiano ya upande wa serikali na baadaye upande wa utetezi ,mshtakiwa wa pili Silvester Nyegu anafuatia Kwa ajili ya kujitetea.

Katika shauri hilo la jinai nambari 105/2021 Sabaya anashtakiwa na wenzake wawili Daniel Mbura na Nyegu Kwa makosa matatu likiwemo la unyang'anyi wa kutumia silaha .

Ends...

View attachment 1898082
Sabaya anahitaji usaidizi wa kisaikolojia... Amechanganyikiwa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hii case naona Sabaya anaenda kufungwa, Kwanza maelezo yake yake yanajichanganya, mwanzo alisema alienda kwenye duka la shahadia store akiwa kwenye oparesheni maalum ambayo alitumwa na mamlaka za juu, huku kwenye utetezi anakana kuwa hapajui huko
Kujua mwenendo wa kesi sasa hivi kwa kusoma kwenye mtandao, source ikiwa haya ma-TV online na mablogu ya kibongo huwezi kujua lolote. Hakuna maripota wenye uwezo wa kuripoti kesi. Kwa wale tuliokuwepo wakati wa kesi ya uhaini enzi za kina Mucadam, Murtaza Lakha etc watakubaliana na mimi. Hawa maripota wa hii kesi ya Sabaya ni vihiyo kabisa. Sijui kama kuna gazeti lenye waandishi wanaojielewa linaloripoti hii kesi. eg Raia Mwema
 
Back
Top Bottom