Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

Hii case naona Sabaya anaenda kufungwa, Kwanza maelezo yake yake yanajichanganya, mwanzo alisema alienda kwenye duka la shahadia store akiwa kwenye oparesheni maalum ambayo alitumwa na mamlaka za juu, huku kwenye utetezi anakana kuwa hapajui huko
Atafungwa kwa kuangalia ushahidi wa jamuhuri kama umenyooka na sio yy kubabaika kujibu maswali. Samahani nauliza tena hiyo kwenye avatar ni pic yako og?
 
KESI YA MBOWE NA YA SAYABA NI ZA KISIASA TUTAWAACHIA HURU WOTE SIKU CHACHE ZIJAZO 😂😂😂😂😂😂😂
 
Sabaya anahitaji usaidizi wa kisaikolojia... Amechanganyikiwa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Ni lazima achanganyikiwe. Kuporomoka kutoka u-General Sabaya mwenye kila aina ya mamlaka, pesa na heshima mpaka kuwa mahabusu asiye na uhuru wowote ni lazima zifyatuke. Ila huyu jamaa alikuwa mafia mbaya sana. Hata ukiangalia sura yake tu anaonyesha ni wale watu wenye viburi vya hali ya juu.
 
Hii case naona Sabaya anaenda kufungwa, Kwanza maelezo yake yake yanajichanganya, mwanzo alisema alienda kwenye duka la shahadia store akiwa kwenye oparesheni maalum ambayo alitumwa na mamlaka za juu, huku kwenye utetezi anakana kuwa hapajui huko
The art of questioning is lacking among gov prosecutors
 
Sabaya ana matatizo makubwa ya akili, achekiwe.
 
Kama Sabaya kasema Yes or No unaitaji reporter akutafsirie? Eliminate bure mbaya sana
 
Mwenye picha ya Odira Amworo aitupie tumuone anavyotisha
 
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya Wilaya ana access na bunduki/ bastola au hana?
 
Kama Sabaya kasema Yes or No unaitaji reporter akutafsirie? Eliminate bure mbaya sana
Hujui unachoandika. Na pengine wewe ni mmoja wa hawa maripota uchwara. Unadhani kuripoti kesi ni kunakili kila anachosema mshtakiwa tu? Haya mambo yamekuzidi kimo hivyo huwezi kujua.
 
Kivipi hapo. Naomba unipe mwanga
Sioni ushahidi wa kutumia siraha kama utathibitika dhidi yake......
haupo.....
nikionacho hapa ni matumizi mabaya ya ofisi ya dc ......sidhani kama hilo kosa jamuhuri walimshtaki nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…