Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

Hujui unachoandika. Na pengine wewe ni mmoja wa hawa maripota uchwara. Unadhani kuripoti kesi ni kunakili kila anachosema mshtakiwa tu? Haya mambo yamekuzidi kimo hivyo huwezi kujua.

That’s exactly what I want!
 
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya Wilaya ana access na bunduki/ bastola au hana?
Hata kama akiwa nayo access, hapo ameshakwepa siku ya tukio hakuwa na silaha, anadai ameanza kuimiliki mwezi mmoja baadae.
 
Hii case naona Sabaya anaenda kufungwa, Kwanza maelezo yake yanajichanganya sana, mwanzo alisema alienda kwenye duka la shahadia store akiwa kwenye oparesheni maalum ambayo alitumwa na mamlaka za juu, huku kwenye utetezi anakana kuwa hapajui huko
Huyu jamaa ni mpumbavu wa mwisho kabisa na hao mawakili wake ni washenzi sana labda wanamwacha aangamie tu.

Kwa majibu yake haya wazi hana legal counsel.
 
Huyu jamaa hakuwa wa kupeleka mahakamani, huyu jamaa kama jamii inauhakika kweli aliyetenda maasi kwa raia wema bila sababu basi alipaswa aabakizwe mtaani ili aadhibiwe kama yule Marehemu Ditopile Mzuzuli.......huku atachomoka tuu nadhani
 
pole shoga angu,tafuta bwana mwingine,Sabaya anafungwa
 
Hahahaaaa mbona hata mimi nimeshangaa anajibu vitu gani mahakamani? ?

Au anataka kujifanya chizi ahukumiwe kupelekwa milembe maanaake sioni kwa vyovyote vile kama hiyo ni strategy ya kujinasua

Unajua wakati mwingine ni wakili ndio huwa wanawaambia wateja hivyo

Kuna wengine wanakula hela wakijua huchomoki sasa inabaki kukuambia tu ukiulizwa hili jibu hili na mwisho wake hela zinaisha kwa kutetewa na jela anaenda

Yaani anaulizwa silaha hataki kuitaja sasa akitaja ana watoto ishirini anaogopa nini

Kwa kweli jamaa sio anawachanganya wasikilizaji bali anajichnganya mwenyewe aonekane chizi [emoji23] Kama ulivyosema
 
Hii case naona Sabaya anaenda kufungwa, Kwanza maelezo yake yanajichanganya sana, mwanzo alisema alienda kwenye duka la shahadia store akiwa kwenye oparesheni maalum ambayo alitumwa na mamlaka za juu, huku kwenye utetezi anakana kuwa hapajui huko
Toka amekua mkuu wa wilaya bastola alikua nayo,alimpiga risasi baunsa club mwaka jana,alivamia hotel ya mbowe mwaka jana akiwa na smg clip zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…