Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mwaka jana kavamia aishi hotel akiwa na bastola n smg clip ipo....kwahiyo bastola kapata mwaka huu[emoji16][emoji16]kweli jambazi hana akili kama baba yake
Wewe mzee una matatizo ganiUnajua ameshtakiwa kwa kosa gani?
Jambazi atakosaje silahaMwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya Wilaya ana access na bunduki/ bastola au hana?
Always wajinga ndo utenda uhalifu,mjanja utazama kesho yakeUkiangalia anavyojibu maswali take utagundua ni mtu mjinga sana. Kichwani hamna kitu
Mbona unachekesha sana! 1. Mimi ni mwanaume (najua unalijua hili ila umeamua kunitukana) 2. Sabaya simpendi kabisa kabisa na hata ningesikia amehukumiwa kunyongwa ningeandaa sherehe (hili hulijui na ulidhani kwenye post yangu nilikuwa namtetea)pole shoga angu,tafuta bwana mwingine,Sabaya anafungwa
Nasikia wale wasaidizi wake kawakana hawajui?..Nilikuwepo Mahakamani leo, ninachoweza kusema ni kwamba huyu dogo HACHOMOKI kwenye hii Kesi iwe Jua iwe Mvua,Ushahidi wake ni wa magumashimagumashi sana mpaka Mawakili wake wanatingisha vichwa kama kutopendezwa na majibu yake,huyu Mvua zinamhusu
Ditopile aliadhibiwa kivipi?..Huyu jamaa hakuwa wa kupeleka mahakamani, huyu jamaa kama jamii inauhakika kweli aliyetenda maasi kwa raia wema bila sababu basi alipaswa aabakizwe mtaani ili aadhibiwe kama yule Marehemu Ditopile Mzuzuli.......huku atachomoka tuu nadhani
KachanganyikiwaUkiangalia anavyojibu maswali take utagundua ni mtu mjinga sana. Kichwani hamna kitu
Nyundo kama kawaKwa majibu hayo tutegemee nini