commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio......
Ushahukumu as if unajua Nini kimetokeaPole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
Kwani Watazania wangapi wanao teseka na walio teswa na hilo li jitu lako. Wengine mpaka kupigwa lisasi, Sabaye hapendwi na wananchi huo ndo ukweli.Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio......
Mjinga kabisa, anajifanya kuleta jeuri akidhani bado ana yale madaraka yaliyompa kiburi cha kufanyia watu ukatili.Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
Askari kumpiga lazima ni dharau.....Ushahukumu as if unajua Nini kimetokea
Huyu jamaa simkubali ila Kuna muda inabidi tuwe watulivu tupate habari kamili
Malipo hapa hapa dunianKwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio......
You are still speculatingAskari kumpiga lazima ni dharau.....
Tutasikia mengi soon!Kikosi Maalum Cha Kuziua Ghasi Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.
Shauri yake.Kikosi Maalum Cha Kuziua Ghasia Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.