Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Eti alikuwa anajifanya USALAMA WA TAIFA πŸ˜‚

Usalama wa taifa aishie kwenye aibu namna hiyo mwisho wa siku 😳

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kuna vitu vinachukuliwaga poa sana! Wangejua yeye ni boss wao wangemshurutisha namna hiyo?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸΎ

Jamaa FALA SANA!

#MALIPONIHAPAHAPADUNIANI
Usalama wa taifa ukizingua wanakutupa aisee,labda utende kwa maelekezo yao
 
umenikumbusha waziri wa kenya sijui ni wizara gani alisema wafungwa hawatakiwi kunywa uji wa sukari wala kulala na godoro wateseke.sheria ikafatwa ikaja kumuangukia yeye kuwa mfungwa na kuanza kulalamika.
sabaya anakula alichofanya aliowafanyia kakutana nao jera.
jifunzeni jera inamchukua kila mtu.ndio maana hakimu,polisi,wababe uzimia wanapofika jera
 
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......

Kwa lolote litakaloendelea,hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.........
Yote haya ni malipo ya kumtegemea mwanadam na kumfanya ndio ngao yake!! Jaman tumtegemee MUNGU sana hata kama tumepewa madaraka ya kuongoza wananchi!!!
 
Kwangu sidhani Kama nitasikitika hata kidogo sabaya ni nduli naungana na jamaaa aliyesema ahasiwe
Duuh huo sio ubinadamu. Hata kama alokosea hapaswi kufanyiwa yale yale maana itakuwa hakuna tofauti ya yeye na sisi.

Ahukumiwe kwa alichofanya ila sio afanyiwe unyama.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom