Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......

Kwa lolote litakaloendelea,hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.........
Huyu wangetoa kabisa korodani. Bado Makonda.
 
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......

Kwa lolote litakaloendelea,hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.........
Aisee,,,Askari watamshambuliaje mahabusu, sidhani kama ni kweli.
 
Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio......

Kwa lolote litakaloendelea,hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.........
Wangemmaliza kabisa. Hata yeye alizoea kuwapa vipigo raia wenzake. Malipo ni hapa hapa Arusha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom