covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Huyo ni mfungwa akiwa amefanya fujo anapewa adhabu na kutulizwa na wajela jela kama kawa.Kwa taarifa za haraka,inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa,shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza,Kisongo mjini Arusha,anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya,na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio,na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio......
Kwa lolote litakaloendelea,hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.........