Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
kule ni mahala panapotaka heshima na unyenyekevu ukiitwa na askari unaitika naam bwana mkubwa,manunda waliyokomaa sura na nakozi hadi inakuwa kama kidole kingine kinaota juu wapo kule c uswahilini huku.
 
20230205_173802.jpg
 
Kikosi Maalum Cha Kuziua Ghasia Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.

kikosi maalum cha kuzuia ghasia Gerezani wanaotambuliwa kwa kifupi (KM) kazi yao ni kurejesha nidhamu ndani ya gereza na huwa hawalengi mtu mmoja bali wote ili kurejesha hali ya kawaida inayotakiwa.

Ni ngumu KM kuelekeza majukumu yao kwa mtu mmoja, wao ni kuelekeza majukumu yao kwa wote kwa wakati mmoja.
Wanapiga kwerikweri

Ova
 
Nimesikitishwa sana na walichofanya hao askari magereza. Wameenda kinyume kabisa na majukumu yao. Wanapataje nafasi ya kumpiga Sabaya na kumwacha hai? Hao Askari washushwe vyeo hawajatutendea haki sisi tunaomchukia jambazi Sabaya.
Unakymbuka wakina mdee,Jacob bulaya na wengineo kilichowakuta gereza la segerea [emoji1] kipondo hicho

Ova
 
Mi ninachojua watu wa Serikali wanasoma JF....
Ushauri kama akitoka General Sabaya basi afichwe kwa siri tena nje ya Arusha/Kilimanjaro

Bila hivyo atapotezwa kisha kulaumiana kuanze
 
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Huenda aliwatunishia misuli ...kwanini ashambuliwe yeye na siyo wafungwa wengine ukizingatia alikuwa kiongozi wa umma na alitakiwa kuonyesha mfano kwa wafungwa wengine gerezani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom