Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kale kabakaji wakalawiti tu
Mshahara wa dhambi ni mauti
Mshahara wa dhambi ni mauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆🤸♂️
MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI [emoji1][emoji1][emoji28][emoji1474]
Haituhusuuu Domo kaya weweKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio. Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Magereza yote, hata kwenye mataifa yaliyoendelea, huwa kuna kikosi maalum sawa na FFU huku uraiani ila hicho huwa kinakuwa gerezani tu. Wao huwa wanaitwa kukiwa na vurugu au kuna wafugwa wakorofi. Hao wakifika ni kipigo kikali kwaajili ya kutuliza ghasia.Aisee,,,Askari watamshambuliaje mahabusu, sidhani kama ni kweli.
Sawa, hatuishi kwa kisasi kuwaumiza waliotutesa, kisasi hufanywa na Mungu pekeeMagereza yote, hata kwenye mataifa yaliyoendelea, huwa kuna kikosi maalum sawa na FFU huku uraiani ila hicho huwa kinakuwa gerezani tu. Wao huwa wanaitwa kukiwa na vurugu au kuna wafugwa wakorofi. Hao wakifika ni kipigo kikali kwaajili ya kutuliza ghasia.
Uliwahi kusikia FFU wameitwa mahali wakaanza kuhoji watu? Basi na huko gerezani ni hivyo hivyo.
Mara kadhaa nimewahi kuandika kuwa dhuluma lazima huwa ina malipo, na kila mmoja analipwa kwa namna yake na kwa wakati wake. Wengine tunadhani hawajapokea malipo ya matendo yao, kumbe tayari walikwishapokea zamani. Huwezi kudhulumu iwe ni maisha ya watu, mali zao au haki zao, halafu uwe salama kabisa. Haiwezekani.
Wale walioshiriki uovu na dhuluma zile za utawala wa awamu ya 5, wajute, waombe msamaha na kufanya toba ya moyo. Kiburi, dharau na ubabe, haviwezi kuwaepusha na adhabu wastahiliyo.
Sema saaa baya ni moja ya wajuaji wa ArushaKwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio. Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Na hata hapo kwenye andiko langu sijasema kuwa waliodhulumiwa wakalipize kisasi bali nimesema wanaodhulumu wajue kuna malipo kwa matendo yao. Kama huwezi kuomba toba, ufahamu kuwa dhuluma dhidi ya wanadamu wenzako italipwa na Mungu kwa namna na kwa wakati ufaao kwa kadiri ya hekima na mapenzi yake.Sawa, hatuishi kwa kisasi kuwaumiza waliotutesa, kisasi hufanywa na Mungu pekee
Tunajua jinsi Chadema ilivyo na Hasira na Sabaya!Na hata hapo kwenye andiko langu sijasema kuwa waliodhulumiwa wakalipize kisasi bali nimesema wanaodhulumu wajue kuna malipo kwa matendo yao. Kama huwezi kuomba toba, ufahamu kuwa dhuluma dhidi ya wanadamu wenzako italipwa na Mungu kwa namna na kwa wakati ufaao kwa kadiri ya hekima na mapenzi yake.
Kama uonavyo, ni nani aliyedhulumiwa na Sabaya amechukua rungu au fimbo kumcharaza? Adhabu ya Mungu siyo kwamba Mungu atachukua fimbo kukuchapa, yaweza kuwa ni kwa kupitia hata marafiki zako au watu ambao hukuwategemea kukugeuka.
Jambo la mujimu, pamoja na mapungufu yetu mengi, lakini tujitahidi kutenda mema. Mapungufu ya kawaida Mungu na hata wanadamu wenzako huyaona. Lakini dhuluma dhidi ya binadamu wenzako kwa sababu tu una madaraka, ni ouvu tunaotakiwa kujitenga nao.
Hapana!Pengine Kuna Jambo alilifanya kinyume na Sheria za gereza amekah Happ miaka 2 Sasa leo Kuna kitu amewaudhi
Numekula laki Saba yake lkn am sorry sabaya for these
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!Ukilima Mahindi utavuna Mahindi,kila mmoja avune alichopanda.
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!Na hata hapo kwenye andiko langu sijasema kuwa waliodhulumiwa wakalipize kisasi bali nimesema wanaodhulumu wajue kuna malipo kwa matendo yao. Kama huwezi kuomba toba, ufahamu kuwa dhuluma dhidi ya wanadamu wenzako italipwa na Mungu kwa namna na kwa wakati ufaao kwa kadiri ya hekima na mapenzi yake.
Kama uonavyo, ni nani aliyedhulumiwa na Sabaya amechukua rungu au fimbo kumcharaza? Adhabu ya Mungu siyo kwamba Mungu atachukua fimbo kukuchapa, yaweza kuwa ni kwa kupitia hata marafiki zako au watu ambao hukuwategemea kukugeuka.
Jambo la mujimu, pamoja na mapungufu yetu mengi, lakini tujitahidi kutenda mema. Mapungufu ya kawaida Mungu na hata wanadamu wenzako huyaona. Lakini dhuluma dhidi ya binadamu wenzako kwa sababu tu una madaraka, ni ouvu tunaotakiwa kujitenga nao.
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!Pengine Kuna Jambo alilifanya kinyume na Sheria za gereza amekah Happ miaka 2 Sasa leo Kuna kitu amewaudhi
Numekula laki Saba yake lkn am sorry sabaya for these
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Askari magereza sio lelemama. Wapo kikazi.Unakymbuka wakina mdee,Jacob bulaya na wengineo kilichowakuta gereza la segerea [emoji1] kipondo hicho
Ova
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!Na hata hapo kwenye andiko langu sijasema kuwa waliodhulumiwa wakalipize kisasi bali nimesema wanaodhulumu wajue kuna malipo kwa matendo yao. Kama huwezi kuomba toba, ufahamu kuwa dhuluma dhidi ya wanadamu wenzako italipwa na Mungu kwa namna na kwa wakati ufaao kwa kadiri ya hekima na mapenzi yake.
Kama uonavyo, ni nani aliyedhulumiwa na Sabaya amechukua rungu au fimbo kumcharaza? Adhabu ya Mungu siyo kwamba Mungu atachukua fimbo kukuchapa, yaweza kuwa ni kwa kupitia hata marafiki zako au watu ambao hukuwategemea kukugeuka.
Jambo la mujimu, pamoja na mapungufu yetu mengi, lakini tujitahidi kutenda mema. Mapungufu ya kawaida Mungu na hata wanadamu wenzako huyaona. Lakini dhuluma dhidi ya binadamu wenzako kwa sababu tu una madaraka, ni ouvu tunaotakiwa kujitenga nao.
Mr/Miss Senior idiot, don't be an idiot just like your name..Ushahukumu as if unajua Nini kimetokea
Huyu jamaa simkubali ila Kuna muda inabidi tuwe watulivu tupate habari kamili