Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Nataka wamfire na kumuua kabisa kenge huyo
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Pole sana kwake.Ila cha msingi inabidi ajue sasa yeye ni mfungwa wa jinai siyo DC tena.So atii sheria za magereza.Lazima atapigwa tuu maana hamna namna.kama anaambiwa usifanye hivi yeye anafanya.Atapigwa sana
 
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Haya huenda ni maigizo ya Sabaya mwenyewe ili kutafuta huruma.
 
Siku zote mtenda hutendwa na muda ni msemaji na mtendaji mzuri sana
 
Kikosi Maalum Cha Kuziua Ghasia Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.

kikosi maalum cha kuzuia ghasia Gerezani wanaotambuliwa kwa kifupi (KM) kazi yao ni kurejesha nidhamu ndani ya gereza na huwa hawalengi mtu mmoja bali wote ili kurejesha hali ya kawaida inayotakiwa.

Ni ngumu KM kuelekeza majukumu yao kwa mtu mmoja, wao ni kuelekeza majukumu yao kwa wote kwa wakati mmoja.

Uache ujuaji, akikosea mtu mmoja anashughulikiwa kama yeye peke yake, atatwangwa bila hata hao KM, have personal experience na uvamizi wa KM, ni watata sana, ila ukiwa msikivu wala hutazurika
 
Usalama wa taifa ukizingua wanakutupa aisee,labda utende kwa maelekezo yao
Hakuna cha maelezo yao! Usalama wa taifa ni lisk! Jamaa kweli ni usalama ila shida imeanzia kwa mkuu wa nchi kumkacha! Ata ukiangalia kesi zake hazina ata ushahidi wa maana kwakweli, zaidi utaona tu lazima kuna watu hawamtaki na hawa watu ni wakubwa.
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
SIJUI NIJIBUJE

MWOSHA. HUOSHWA

MKATAA PEMA PABAYA PAAMWITA

MCHAMBA WIMA.......

MALIPO HAPA HAPA DUNIAN

UKIPENDA KULA VYA WENZIO SHARTI ULIWEEE

ASIE ...LA.MKUUU UVUNJIKA GUUUU

YAAAN KAMA KAKUTUMAAA.MPE HUU UJUMBEEEE

ATOKIIIIIIIII

ATOKIIII

ATOKIIII
ATOKIII
YAAAN HATOTOTOOOKAAA ASAHAU ANDIKE URITHI
 
Magereza yote, hata kwenye mataifa yaliyoendelea, huwa kuna kikosi maalum sawa na FFU huku uraiani ila hicho huwa kinakuwa gerezani tu. Wao huwa wanaitwa kukiwa na vurugu au kuna wafugwa wakorofi. Hao wakifika ni kipigo kikali kwaajili ya kutuliza ghasia.

Uliwahi kusikia FFU wameitwa mahali wakaanza kuhoji watu? Basi na huko gerezani ni hivyo hivyo.

Mara kadhaa nimewahi kuandika kuwa dhuluma lazima huwa ina malipo, na kila mmoja analipwa kwa namna yake na kwa wakati wake. Wengine tunadhani hawajapokea malipo ya matendo yao, kumbe tayari walikwishapokea zamani. Huwezi kudhulumu iwe ni maisha ya watu, mali zao au haki zao, halafu uwe salama kabisa. Haiwezekani.

Wale walioshiriki uovu na dhuluma zile za utawala wa awamu ya 5, wajute, waombe msamaha na kufanya toba ya moyo. Kiburi, dharau na ubabe, haviwezi kuwaepusha na adhabu wastahiliyo.
Aisee..
 
Wacha lishambuliwe tu ilo jambazi tena wampige kisawa sawa, nae aliwashambulia sana wenzake enzi za ukuu wa wilaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom