Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Kama kweli basi hao waliomshambulia ni walegevu sana ilitakiwa tutangaziwe kuwa wameshamzimisha yule mjinga kwa ukatili wake hastahili kuwa hai.
 
Hakuna cha maelezo yao! Usalama wa taifa ni lisk! Jamaa kweli ni usalama ila shida imeanzia kwa mkuu wa nchi kumkacha! Ata ukiangalia kesi zake hazina ata ushahidi wa maana kwakweli, zaidi utaona tu lazima kuna watu hawamtaki na hawa watu ni wakubwa.
Vilaza kama wewe ndiyo mnasababisha hiyo 'Idara' idharauliwe sana siku hizi.
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Kila sehemu ina sera na miongozo yake ya kuishi, magereza hali kadhalika. Kuna miongozo ya kinidhamu kwa wale watovu wa nidhamu. Kama Sabaya amekuwa mtovu wa nidhamu basi mamlaka ya kinidhamu imemshughulikia kutokana na sera zilizopo.

Anaweza kutoa malalamiko yake kwa uongozi wa magereza hata pia kukata rufaa. Ni lazima aishi kwa kufuata sheria bila sharti. Kinyime chake atakutana na kichapo tu. Asipoangalia anayaweka marinda yake rehani.
 
Vilaza kama wewe ndiyo mnasababisha hiyo 'Idara' idharauliwe sana siku hizi.
Mi sio mtu kitengo! Ila kitendo cha kuacha shakha kwenye kezi zinazomkabili Sabaya kumeonesha kuwa mna shida nyingine dhidi ya Sabaya ila sio zile mkizozisema hapo mwanzo
 
Tunajua jinsi Chadema ilivyo na Hasira na Sabaya!
Tunajua Chadema mnamchukia Sabaya,kwa sababu ndie aliemtoa Mbowe na Chadema kwenye ulingo wa Siasa kule Hai.
Fikra zako ni zako, na wala haimaanishi kuwa ni kweli.

Hakuna mgombea wa ubunge aliyetolewa au kupewa ubunge na Sabaya. Iwe ni wagombea wa CHADEMA au hata wa CCM waliokuwa wamepitishwa na wajumbe, wote waliondolewa na dikteta Magufuli, siyo Sabaya. Sabaya na wakurugenzi kote nchini walikuwa ni mawakala tu wa ule uovu. Kuna wengine walitumika tu kwenye ule uovu, kisha wakarudi kwenye utendaji wao wa kawaida, kuna wengine, kama Sabaya, wakanogewa na uovu, wakaendelea na uovu, na kwao uovu ikawa ndiyo maisha yao.
 
Atakuwa kakaidi na kutoa lugha mbaya kwa askari gerezani.
 
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!
Anatakiwa kutafuta uhuru wa kudumu badala ya uhuru wa kutokuwa gerezani. Anaweza kutoka gerezani lakini akaendelea kuwa mfungwa wa dhamira maisha yake yote.
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Malipo.ni hapa hapa duniani. Ukitenda mema utalipwa mema. Ukitenda mabaya utalipwa mabaya. Mateso aliyowapa watu hayatamuacha Bure. Na atakufa siku si nyingi.
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
H.A.Y.A.T.U.H.U.S.U
 
Wangeua tu...hatumuhitaji
 
Kikosi Maalum Cha Kuziua Ghasia Gerezani ni balaa wakiingia sehemu ni kazi kweli kweli kama ikiwa taarifa hii ni ya ukweli.

kikosi maalum cha kuzuia ghasia Gerezani wanaotambuliwa kwa kifupi (KM) kazi yao ni kurejesha nidhamu ndani ya gereza na huwa hawalengi mtu mmoja bali wote ili kurejesha hali ya kawaida inayotakiwa.

Ni ngumu KM kuelekeza majukumu yao kwa mtu mmoja, wao ni kuelekeza majukumu yao kwa wote kwa wakati mmoja.
Apigwe tu kama anachochea ghasia gerezani, tena apigwe pale kisogoni kwenye nundu
 
Hapana!
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!
Sikubaliani I na wee mkuu hili Ni wazo lako kwa hyo ukikatibia kutoka unapigwa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa sababu Sabaya anaelekea kutoka Magereza na kuwa Huru!
Hivyo watesi wake wanaona njia pekee ya kumkomoa ni kumtia kilema!
Kwa sababu wameshindwa kumkomoa kwa njia waliyokusudia!

Sabaya is a free Man Soon!
Kumbe magereza wanawaoneaga wanaokaribia kuachiwa eti!
 
K
Hakuna cha maelezo yao! Usalama wa taifa ni lisk! Jamaa kweli ni usalama ila shida imeanzia kwa mkuu wa nchi kumkacha! Ata ukiangalia kesi zake hazina ata ushahidi wa maana kwakweli, zaidi utaona tu lazima kuna watu hawamtaki na hawa watu ni wakubwa.
Kwa hiyo hao watu ni wakubwa kuliko Usalama?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom