Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mipango mikakati ya kumchomoa tarehe 15 [emoji23]Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app