MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Roho mbaya gani? wakati sabaya anawafanyia watu yale maujinga yote je alikuwa hajui kuwa hapa duniani anapita tu??!!Acha roho mbaya.
Hautaishi milele kwenye hii dunia, sote tu wapitaji so epuka kujenga chuki kwa binadamu mwenzio.