Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Atakuwa alifanya fujo akidhani yale madaraka ya kishetani bado anayo!
Askari mlitakiwa mumvunje miguu na mikono, kisha mnamng'oa meno 3 bila ganzi!
kenge mkubwa, jambazi na shetani mkubwa!
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
NB: Umafia pia unawezekana, wale aliowatesa wanaweza 'wanawanunua' askari magereza au hata mkuu wa gereza na kuwaagiza kwamba pale atakapokataa kutii amri yoyote(kuna sheria za kudhalilisha sana gerezani inmate anaweza kubong'oleshwa mbele ya umati ili asechiwe mkunduni kwa kuingizwa vidole mind you hiyo ni sheria halali) apewe kichapo cha mbwa koko [emoji1787][emoji1787].
All in all jamaa alitesa, alinyanyasa na alidhulumu watu wengi wasio na hatia yoyote.
 
Unateseka sana na sabaya mbwa wewe. Au wewe ni mke wake? Yule yupo gerezani mpaka 2030
 
tuliosoma cuba tumeshajua the motive behind ya hii thread.

soon atakuwa uraiani, ila nyinyi wafaidika wake, mwambieni huku mtaani hali imeshabadilika, hakuna ule ushamba wa kutishana na kuulizana wapi umetoa pesa.

watu wanajiachia na fedha zao bila hofu.
Hata akitoka atakuwa kanyooka
Maana si kwa msoto huo

Ova
 
Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
NB: Umafia pia unawezekana, wale aliowatesa wanaweza 'wanawanunua' askari magereza au hata mkuu wa gereza na kuwaagiza kwamba pale atakapokataa kutii amri yoyote(kuna sheria za kudhalilisha sana gerezani inmate anaweza kubong'oleshwa mbele ya umati ili asechiwe mkunduni kwa kuingizwa vidole mind you hiyo ni sheria halali) apewe kichapo cha mbwa koko [emoji1787][emoji1787].
All in all jamaa alitesa, alinyanyasa na alidhulumu watu wengi wasio na hatia yoyote.
Mkuu agiza kinywaji utume namba PM hohehahe mimi nikuchezeshee muamala! Nimepiga dili ya kibarua cha ujenzi jana si haba nimepata chochote kitu A.K.A kiinua mgongo kwa sisi walalahoi! 😂👍🏾

#NOTEAJOKE
 
Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
NB: Umafia pia unawezekana, wale aliowatesa wanaweza 'wanawanunua' askari magereza au hata mkuu wa gereza na kuwaagiza kwamba pale atakapokataa kutii amri yoyote(kuna sheria za kudhalilisha sana gerezani inmate anaweza kubong'oleshwa mbele ya umati ili asechiwe mkunduni kwa kuingizwa vidole mind you hiyo ni sheria halali) apewe kichapo cha mbwa koko [emoji1787][emoji1787].
All in all jamaa alitesa, alinyanyasa na alidhulumu watu wengi wasio na hatia yoyote.
Jela halifai.
 
The wife watamwacha salama kweli? mwaka na ushee sasa 😛 😛
 
Toto jeuri lile... hapo litakuwa limewatukana askari

Ila bwana bwana usiombe Mungu atoe Kinga/ulinzi kwako, wafwaa!

Hii pia ilimkuta "the master of chattle

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Watanzania kama kuna sababu ya kufunga na kumshukuru Mola wetu ni mambo makuu aliyotutendea mwaka 2022.
Tutasherehekea sikukuu na mwanzo wa ukombozi tarehe 9March na kufikia kilele 17th March.
Halafu Mungu akaendele kusafisha njia kupambana na vitoto vichanga vya shetani akina bashita saabya nk.
Tumshukuru jamani khaa
 
Kwani Watazania wangapi wanao teseka na walio teswa na hilo li jitu lako. Wengine mpaka kupigwa lisasi, Sabaye hapendwi na wananchi huo ndo ukweli.
Hapendwi wakati kawapokonya jimbo kwa kura nyingi tu. Sema wewe ndio humpendi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom