CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Nashangaa huyu alitakiwa awe futi sita chini ya ardhiMbona hao Askari ni legevu hivyo? Wameshindwaje kummaliza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa huyu alitakiwa awe futi sita chini ya ardhiMbona hao Askari ni legevu hivyo? Wameshindwaje kummaliza?
Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Jeuri yake alikuwa anaupata kupitia backup ya vyombo vya dola, nje ya hapo ni mchumba tu.Hahaaa akikujua yule mwamba atakuzingua
Unateseka sana na sabaya mbwa wewe. Au wewe ni mke wake? Yule yupo gerezani mpaka 2030Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.
Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!
Source imetoka eneo la tukio.
Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!
Tutege Masikio.
Una ushahidi alichezea kichapo?Ni kweli....ila bado ana haki zake kama mahabusu...
Kipigo kikali kupindukia na uonevu wowote (kama upo) haukubaliki.
Hata akitoka atakuwa kanyookatuliosoma cuba tumeshajua the motive behind ya hii thread.
soon atakuwa uraiani, ila nyinyi wafaidika wake, mwambieni huku mtaani hali imeshabadilika, hakuna ule ushamba wa kutishana na kuulizana wapi umetoa pesa.
watu wanajiachia na fedha zao bila hofu.
Mnyampala alikuwa anataka mbususu ye akawa anagoma? I knew he was gonna be someone's biach, in Prison...Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
Mkuu agiza kinywaji utume namba PM hohehahe mimi nikuchezeshee muamala! Nimepiga dili ya kibarua cha ujenzi jana si haba nimepata chochote kitu A.K.A kiinua mgongo kwa sisi walalahoi! 😂👍🏾Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
NB: Umafia pia unawezekana, wale aliowatesa wanaweza 'wanawanunua' askari magereza au hata mkuu wa gereza na kuwaagiza kwamba pale atakapokataa kutii amri yoyote(kuna sheria za kudhalilisha sana gerezani inmate anaweza kubong'oleshwa mbele ya umati ili asechiwe mkunduni kwa kuingizwa vidole mind you hiyo ni sheria halali) apewe kichapo cha mbwa koko [emoji1787][emoji1787].
All in all jamaa alitesa, alinyanyasa na alidhulumu watu wengi wasio na hatia yoyote.
Hajafungwa lakini ni mahabusuAliyefungwa kwa kosa la jinai hana sifa tena ya kuwa kiongozi wa Umma.
Na Jerry Murobado makonda na gambo
Jela halifai.Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
NB: Umafia pia unawezekana, wale aliowatesa wanaweza 'wanawanunua' askari magereza au hata mkuu wa gereza na kuwaagiza kwamba pale atakapokataa kutii amri yoyote(kuna sheria za kudhalilisha sana gerezani inmate anaweza kubong'oleshwa mbele ya umati ili asechiwe mkunduni kwa kuingizwa vidole mind you hiyo ni sheria halali) apewe kichapo cha mbwa koko [emoji1787][emoji1787].
All in all jamaa alitesa, alinyanyasa na alidhulumu watu wengi wasio na hatia yoyote.
Makonda si ndio kakimbilia nchi jirani ,ukweni huko.
Una maana wamle kisogoni tehe tehe tehe!Hata kumkula rukhsa...yy si aliwakula wenzie
Tena wamkule na wamkule tena
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Watanzania kama kuna sababu ya kufunga na kumshukuru Mola wetu ni mambo makuu aliyotutendea mwaka 2022.Toto jeuri lile... hapo litakuwa limewatukana askari
Ila bwana bwana usiombe Mungu atoe Kinga/ulinzi kwako, wafwaa!
Hii pia ilimkuta "the master of chattle
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapendwi wakati kawapokonya jimbo kwa kura nyingi tu. Sema wewe ndio humpendi.Kwani Watazania wangapi wanao teseka na walio teswa na hilo li jitu lako. Wengine mpaka kupigwa lisasi, Sabaye hapendwi na wananchi huo ndo ukweli.