Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.

Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.

Kumekuchaaaaaaa
 
Things fall apart, karma is a bitch
 
tuombe wasimkatishe maisha kabla ya nabii lema hajamletea salamu
 
Aisee vingozi wapite huku wajionee jinsi malipo ni hapa hapa duniani...bora afe tu akamlilie jiwe maana kwa picha linavyoenda ndio kwanza stering katambulishwa 🤣🤣
 
Wamuachie sasa na sisi wananchi wenye hasira kali tuambulie tunamtamani sana.
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Sasa kama kagoma kutoa wezere ni muhimu kwa askari kuwasaidia manyampara? Na apigwe 2!
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Wangemuua tuuu kumaliza kesi
 
Kwa wale ambao hamjawahi kukaa magerezani muelewe kwamba askari magereza huwa wanatandika inmates (pale inapolazimu) zaidi hata ya polisi wanapokuwa kwenye 'brutal interrogations', kwa mtu kama Sabaya ambaye gereza linafahamu kuwa ana lawyers na shauri lake linafuatiliwa na vyombo vya habari hawawezi kumpa kichapo bila ya sababu za msingi. Wanauhakika namna watakavyojieleza pindi shauri litakapofikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
NB: Umafia pia unawezekana, wale aliowatesa wanaweza 'wanawanunua' askari magereza au hata mkuu wa gereza na kuwaagiza kwamba pale atakapokataa kutii amri yoyote(kuna sheria za kudhalilisha sana gerezani inmate anaweza kubong'oleshwa mbele ya umati ili asechiwe mkunduni kwa kuingizwa vidole mind you hiyo ni sheria halali) apewe kichapo cha mbwa koko [emoji1787][emoji1787].
All in all jamaa alitesa, alinyanyasa na alidhulumu watu wengi wasio na hatia yoyote.
Midnight walkers huyo
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.
Wangemuua TU. Manina wakakutane huko kuzimu na yule shetani aliyetangulia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom