Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Mbowe ni mtiifu na msikivu siyo kama hilo lifisadi lenu linajifanya TISS hata huko korokoroni lazima akung`utwe bakora
Sawasawa mkuu... RUDIA WAKUELEWE

"ANAJIFANYA TISS!" TISS HAWANAGA UPUUZI WA HOVYO KAMA ALIVYOKUWA HUYO BAZAZI

HUCHUKUI ROUND KAMA NI TISS UTAISHIA KUBAYA. BINAFSI NIMEKUELEWA VYEMA MKUU Lucha .... njoo soma hapa
 
Ukiwa na makosa ya jinai kama ni TISS member wala huchui round mjomba... kuna jela maalum za Jeshi na huenda hata usifike huko maana wanafuatiliana, ni kukuwasha tu na kukutangiliza kuzimu mapema. Hakuna TISS wanaishia mahabusu na jela hovyo. Wale ni watu hatari, tayari wana mafunzo ya kijeshi na mbinu tele! Ni hatari kuendelea kuishi otherwise uende jela ya jeshi maalum au ufe 😊

Bisha tumuite Mr. Nelson Jacob lushasi akupe elimu zaidi 😊😊😊
Mdogo wangu umedangangwa sana una safari ndefu ya kuelekezwa
 
Uchawa una ukomo, hakuna kitu kibaya kama kumtegemea binadamu katika ulimwengu huu.
 
Sawasawa mkuu... RUDIA WAKUELEWE

"ANAJIFANYA TISS!" TISS HAWANAGA UPUUZI WA HOVYO KAMA ALIVYOKUWA HUYO BAZAZI

HUCHUKUI ROUND KAMA NI TISS UTAISHIA KUBAYA. BINAFSI NIMEKUELEWA VYEMA MKUU Lucha .... njoo soma hapa
Hao una watumia kama ushahidi hakuna chochote wanachojua wachche wanao elewa wanajua mnalishana matango pori
 
EBANA POA! WE UNAJUA ZAIDI... UMESHINDA! UNABISHANA NA WANAJESHI SASA WANAOJUA HAYO MAMBO.

HAYA WACHA SISI TULE MATANGOPORI WE KULA MATIKITI UWE NA AFYA, TUACHE SISI NA MATANGOPORI TUBAKI HATUNA AKILI 😊👍🏾
 
Ukiwa na makosa ya jinai kama ni TISS member wala huchui round mjomba... kuna jela maalum za Jeshi na huenda hata usifike huko maana wanafuatiliana, ni kukuwasha tu na kukutangiliza kuzimu mapema. Hakuna TISS wanaishia mahabusu na jela hovyo. Wale ni watu hatari, tayari wana mafunzo ya kijeshi na mbinu tele! Ni hatari kuendelea kuishi otherwise uende jela ya jeshi maalum au ufe 😊

Bisha tumuite Mr. Nelson Jacob lushasi akupe elimu zaidi 😊😊😊
Nani ana uhakika Sabaya alikua na ajira usalama wa Taifa??????Mngepata uhakika ndio mngejadiliana kwa hoja na sio mabishano
 
Sio kwamba najua sana ila tunaelimishana kama wadau wa jamii forum!!!
 
Nani ana uhakika Sabaya alikua na ajira usalama wa Taifa??????Mngepata uhakika ndio mngejadiliana kwa hoja na sio mabishano
Hakuna anaejua kama alikuwa na ajira mkuu! Alikuwa anajifanya TISS na mpaka alipandishwa kizimbani kwa kosa hilo na alifanya unyang'anyi kwa kujifanya TISS na Mahakama ikamuumbua kuwa hakuwa TISS bali alifoji vitambulisho.... what a shame eti kwa mtu anayeitwa na kujiita kiongozi, tena role-model anafanya uchizi wa kiwango kile 😔

TISS huwa na nidhamu maana ni wanajeshi, na jeshi nukta kuu ya kwanza ni nidhamu na ndomana mwenye kuelewa na kujitambu huwa na nidhamu katu haropoki yeye TISS au kutafuta sifa aonekane yeye TISS, hawa wa michongo ndo huwa hivi na hawafikagi mbali.

Nina marehemu BABA MKUBWA.. siku ya mazishi ndo hata watoto na ndugu zake walijua kwamba yeye ni TISS,majirani, ndugh zake na hata watoto... mimi binafsi nikiwepo nilichoka na kuchoka!
 
Hakuna anaejua kama alikuwa na ajira mkuu! Alikuwa anajifanya TISS na mpaka alipandishwa kizimbani kwa kosa hilo na alifanya unyang'anyi kwa kujifanya TISS na Mahakama ikamuumbua kuwa hakuwa TISS bali alifoji. TISS huwa na nidhamu maana ni wanajeshi, na jeshi nukta kuu ya kwanza ni nidhamu na ndomana mwenye kuelewa na kujitambu huwa na nidhamu katu haropoki yeye TISS au kutafuta sifa aonekane yeye TISS, hawa wa michongo ndo huwa hivi na hawafikagi mbali.

Sasa mnapishana kauli na ndugu yangu Lucha wapi???
 
Yupo Mkulungwa anadai kuna tetesi za mpango wa kumuachia siku chache zijazo. Nikiunganisha na hili la 'kuchezea kichapo', naona kama yanatengenezwa mazingira! If you know you know..
 
Commando wa Jwtz anafukuzwa kaz na anaachwa uraiani watakua TISS mzee?, Yani we ukiskia usalam wa taifa unawaona ni watu wa ajabu saana? Hawana maajabu yoyote kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa na kuzipeleka kwenye vyombo vya ulinzi ili taarifa ifanyiwe kazi ndo maana wanapandikizwa katika sehem mbalimbali.

Kazi ya taarifa anayo ifanya TISS hata raia wa kawaida mwenye uadilifu anaifanya hawana mafunzo ya ajabu hadi eti awe tishio kwa taifa hiyo haipo mzee labda awe kwenye nafasi kubwa sana ila hawa ambao wako chin wenye level ya mfano wa sabaya hawana madhara yoyote , siyo tishio lolote kitaifa, wakeup mkuu usilale sana watu wakakufanya mshamba kwa stori za vijiweni

EBANA POA! WE UNAJUA ZAIDI... UMESHINDA! UNABISHANA NA WANAJESHI SASA WANAOJUA HAYO MAMBO.

HAYA WACHA SISI TULE MATANGOPORI WE KULA MATIKITI UWE NA AFYA, TUACHE SISI NA MATANGOPORI TUBAKI HATUNA AKILI 😊👍🏾
 
Sasa mnapishana kauli na ndugu yangu Lucha wapi???
Hataki kukubali kwamba "kama angekuwa TISS kweli asingefika huko! Wala asingekuwa na madudu ya namna hiyo. Yaani ni akili tu ya kufikirika.

Mwambie atutajie ni kiongozi gani anayemjua yeye anayehisiwa ni TISS anafanyaga blunders za namna ile?! Fuatilia wakuu wa mikoa waliokuwa wanajeshi walioteuliwaga na marehemu Magufuli uone kama walikuwa ma nidhamu za hovyo namna ile... Ukizingua ni jela za kijeshi tena kwa siri! Au kifo! Inasemekana DIWANI ATHUMANI MSUYA kazingua juzi... ulisikia wapi kapelekwa kizimbani?! Au mahabusu?! Jeshi wako fully! Lucha
 
Commando wa Jwtz anafukuzwa kaz na anaachwa uraiani watakua TISS mzee?, Yani we ukiskia usalam wa taifa unawaona ni watu wa ajabu saana? Hawana maajabu yoyote kazi yao kubwa ni kukusanya taarifa na kuzipeleka kwenye vyombo vya ulinzi ili taarifa ifanyiwe kazi ndo maana wanapandikizwa katika sehem mbalimbali.

Kazi ya taarifa anayo ifanya TISS hata raia wa kawaida mwenye uadilifu anaifanya hawana mafunzo ya ajabu hadi eti awe tishio kwa taifa hiyo haipo mzee labda awe kwenye nafasi kubwa sana ila hawa ambao wako chin wenye level ya mfano wa sabaya hawana madhara yoyote , siyo tishio lolote kitaifa, wakeup mkuu usilale sana watu wakakufanya mshamba kwa stori za vijiweni
We JAMAA ni FALA SANA! Sitakujibu wala kubishana na wewe tena!

Uongee na reference... kutokufanya kwako bidii maishani ndo kunakufanya uone kila kitu ni kawaida maishani mwako. Kwa sababu hukufika na uwezo wa kufika huna! Kwa wivu wako wa kuharibikiwa unaona mko sawa. Ndo walewale wanaomponda manara eti kaibiwa dola elfu kumi na saba (17000) wao wanasema ni hela ya kawaida. Hapo hata kodi ya chumba cha 150k kinamshinda.

Nyie ndo walewale mnaowaponda wenye divisheni wani na kusifia wenye divisheni ziro kwamba watakuja kuwa matajiri wawaajiri wenye wani. Mungu akusaidie! Eti Komando wa JWTZ anafukuzwa... Hivi wewe Komando unamjua vizuri?! Eti TISS ni mtu wa kawaida HAHAHA! Kalaghabaho!
 
Huna cha maana unachoweza kujibu maana hujui chochote utaishia kuniita mjinga tu ila hujui mjinga ni wewe unaeandika mambo usiyo yajua, kichwani ni mweupe sana kiasi cha kushangaa kusikia commando kafukuzwa kazi, sasa mambo makubwa utayajulia wapi?
 
WEWE FALA... MAKOMANDO SIO WATU WA MCHEZO! MAZUNGUMZO YAO HUFANYA NA RAIS WEWE UNAWACHUKULIA KAMA WEWE USHASHIBA WALI WALI WAKO WA BUKU MBILI NA MO-ENERGY HAPO PEMBENI UNATUMIA FREE YA WIFI YA STATIONARY BASI UNAPAYUKA TU KAMA UNAKUNYA YAAN 😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom