Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Yaani kama kuna uwezekano ahasiwe kabisa asije akazaa kizazi kichafu kama yeye.

Mkuu unaombea mwanaume mwenzako akose nguvu za kiume unaogopa atakufanyaje[emoji2955][emoji2955]
 
Eti alikuwa anajifanya USALAMA WA TAIFA [emoji23]

Usalama wa taifa aishie kwenye aibu namna hiyo mwisho wa siku [emoji15]

[emoji23][emoji23][emoji23]... Kuna vitu vinachukuliwaga poa sana! Wangejua yeye ni boss wao wangemshurutisha namna hiyo?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1474]

Jamaa FALA SANA!

#MALIPONIHAPAHAPADUNIANI

Kwani usalama wa taifa wanaishiaga wapi mkuu??

Huyu mtu anatumika kupumbaza wajinga.
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.

Afinywe , tena wangemla kiboga kabisa ,pimbi huyo , huyu atakuwa alijichanganya kwa askari magereza wanasema "Huyu msenge ngoja tumletee wazee wa kazi hizi KMKM" ,
Pole zake sana anatakiwa atii mamlaka za gereza asijione yuko juu na kuwadharau bwana jela
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.

Mungu amtetee
 
Alivyokuwa anafira wake za watu tena mbele ya waume zao kwa ubabe na jeuri kubwa kisa kuwatesa waume zao alikuwa anaona ni sawa au sio ?
 
Mwanaume unakuaje na bifu na mtu usiyemjua tena kwenye Social media? Mimi hata sikumbuki mambo ya bifu ndio kwanza nakusikia wewe,usiichukulie JF too serious.
Kwahiyo mwanaume ukim-criticize ndo hawezi kusahau au sio?! And it's not a serious beef actually...

We jamaa jifanye umesahau tu... kila nikiwapiga vita Morocco ukawa unanijia juu. Na siku ulipogundua mimi ni shabiki wa england baada ya kutoka ukafurahi sana! Na maneno ya kejeli kama yote. Jisahaulishe tu 😊
 
Kwani usalama wa taifa wanaishiaga wapi mkuu??

Huyu mtu anatumika kupumbaza wajinga.
Umedandia mada... soma vizuri uelewe kisha utafute loophole uruke nayo... achana na hizo habari, hukuwahi kupita jeshi

Na kama mlikuwa wote na hao wapanga hiyo mipango ya kupumbaza watanzania hongera sana!
 
Alivyokuwa anafira wake za watu tena mbele ya waume zao kwa ubabe na jeuri kubwa kisa kuwatesa waume zao alikuwa anaona ni sawa au sio ?
Dahh! Mungu huyu 😔😔😔

Alafu kuna fala anasema sabaya anatumika kupumbaza watanzania.
 
Safi sana askari wa magereza ,piga sana huyo jambazi.
Hili lijamaa limefanya ukatili wa hali ya kutisha kwa watu wengi Arusha na Moshi ,kuna mengine hata hayakurepotiwa , Sabaya aminywe , huyu pimbi ilifikia kipindi mpaka akaanza kuvamia hotels na kubaka watu na kukaa bure bila kulipa ,kama alicho mfanyia Msanii Nandy kule Moshi
Jambazi kabisa huyo
 
Alimfanyaje mkuu?! 😳🤔🤔🤔
 
Sisi hatuwezi kulipa ovu wa ovu,Huyu bwana asamehewe jamani,mwoneeni huruma
Yeye aliwaonea hutuma wale vijana aliowapiga vibaya na kuwatoboa na misumari ya inch5 mikononi ,miguuni na vichwani as if anamsulubu yesu ? , yule diwani wa chadema aliyemvua nguo mbele ya mke wake watu na watoto wake , wawakawapiga na kuwajeruhi vibaya halafu wakamnajis mke wake ,hivi huyu mtu alikuwa na akili timamu kweli ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom