Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Yupo Mkulungwa anadai kuna tetesi za mpango wa kumuachia siku chache zijazo. Nikiunganisha na hili la 'kuchezea kichapo', naona kama yanatengenezwa mazingira! If you know you know..
🤔

Watu wamroge tu akitoka awe chizi
 
WEWE FALA... MAKOMANDO SIO WATU WA MCHEZO! MAZUNGUMZO YAO HUFANYA NA RAIS WEWE UNAWACHUKULIA KAMA WEWE USHASHIBA WALI WALI WAKO WA BUKU MBILI NA MO-ENERGY HAPO PEMBENI UNATUMIA FREE YA WIFI YA STATIONARY BASI UNAPAYUKA TU KAMA UNAKUNYA YAAN 😀
Dogo nenda kijiweni kadanganyane na vipofu wenzako usijidai unajua mambo usiyo yajua humu ndani ukafikiri kila mtu ni mnywa kahawa mwenzako
Nonsense.
 
Hataki kukubali kwamba "kama angekuwa TISS kweli asingefika huko! Wala asingekuwa na madudu ya namna hiyo. Yaani ni akili tu ya kufikirika.

Mwambie atutajie ni kiongozi gani anayemjua yeye anayehisiwa ni TISS anafanyaga blunders za namna ile?! Fuatilia wakuu wa mikoa waliokuwa wanajeshi walioteuliwaga na marehemu Magufuli uone kama walikuwa ma nidhamu za hovyo namna ile... Ukizingua ni jela za kijeshi tena kwa siri! Au kifo! Inasemekana DIWANI ATHUMANI MSUYA kazingua juzi... ulisikia wapi kapelekwa kizimbani?! Au mahabusu?! Jeshi wako fully! Lucha
Duuh
 
Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.

ni kama yule kiranja anayejikomba kwa walimu na kujkuta yeye ndo mbabe na kuonea wengine siku akikamatishwa kila mtu anafurahi
 
JESHI KITU KIKUU KINAANGALIWA NI NIDHAMU NDUGU MJAMAICA! NIDHAMU! NIDHAMU! NIDHAMU!

NIMEMUULIZA HUYO JAMAA... MAGUFULI ALIKUWA NA UTARATIBU WA KUWATEUA SANA HAWA JAMAA MAANA NDO RAIS PEKEE BAADA YA NYERERE NI YEYE NDO ALIONA UMUHIMU WA HAWA WATU.... JE! KATIKA WALE WALIOTEULIWA ALIWAHI KUSIKIA MADUDU YA UKOSEFU NIDHAMU WA NAMNA ILE?! NAHITAJI TU AJIBU.
 
"... Mtoe lock huyo..."

Aliwahi sikika sabaya akiwaambka majambazi wake
 
Huna cha maana unachoweza kujibu maana hujui chochote utaishia kuniita mjinga tu ila hujui mjinga ni wewe unaeandika mambo usiyo yajua, kichwani ni mweupe sana kiasi cha kushangaa kusikia commando kafukuzwa kazi, sasa mambo makubwa utayajulia wapi?
Lucha ndugu yangu kwani mnapishana wapi na @Hoehae??????Mbona wote mna hoja nzuri tu!!!
 
JESHI KITU KIKUU KINAANGALIWA NI NIDHAMU NDUGU MJAMAICA! NIDHAMU! NIDHAMU! NIDHAMU!

NIMEMUULIZA HUYO JAMAA... MAGUFULI ALIKUWA NA UTARATIBU WA KUWATEUA SANA HAWA JAMAA MAANA NDO RAIS PEKEE BAADA YA NYERERE NI YEYE NDO ALIONA UMUHIMU WA HAWA WATU.... JE! KATIKA WALE WALIOTEULIWA ALIWAHI KUSIKIA MADUDU YA UKOSEFU NIDHAMU WA NAMNA ILE?! NAHITAJI TU AJIBU.
Jeshini ndio pekee kumebaki na tumaini. Kwingine hamna
 
Dogo nenda kijiweni kadanganyane na vipofu wenzako usijidai unajua mambo usiyo yajua humu ndani ukafikiri kila mtu ni mnywa kahawa mwenzako
Nonsense.
Mimi nakunywa kahawa MIKOCHENI "B" (KWA WARIOBA), MTAA WA KIFARU. NJOO UONE VIJIWE VYA HUKU VILIVYO NA WATU WA HUKU. UNADHANI KILA MTU NI MJINGA MWENZAKO HAPA AU ID ZINAKUDANGANYA?! 😀😀😀😀😀

POLE SANA!
 
Mimi nakunywa kahawa MIKOCHENI "B" (KWA WARIOBA), MTAA WA KIFARU. NJOO UONE VIJIWE VYA HUKU VILIVYO NA WATU WA HUKU. UNADHANI KILA MTU NI MJINGA MWENZAKO HAPA AU ID ZINAKUDANGANYA?! 😀😀😀😀😀

POLE SANA!
Hakuna haja ya kutukanana muhimu sabaya yuko korokoroni
 
Nimekosea sana kubishana na mtoto ambae bado hajapata nafasi ya kuyajua mengi na hilo ndo kosa kubwa ambalo sikulijua
Sisi sote humu JF tunaelimishana na tupo watu wa kada tofauti tofauti ndugu yangu!!!Nadhani mjadala uendelee kwa amani sababu nyie wote @ Lucha na @Hohehae ni watu muhimu na michango yenu katika mada tofauti tofauti tunaithamini!!!Tofauti za kimtazamo katika mambo ni kawaida tu kwa wasomi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom