Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

Status
Not open for further replies.
Wangemuua TU. Manina wakakutane huko kuzimu na yule shetani aliyetangulia
Wewe unao mkataba wa miaka mingapi kuishi Duniani?

Au Mungu huwa anakupigia simu?

Unakufulu maumbile ya Mungu sababu uko kijiweni na sio ulipoxowea kuwa huku ukiibia nchi?
 

Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa.

Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula!

Source imetoka eneo la tukio.

Kwa lolote litakaloendelea, hili ni doa kubwa kwenye Mamlaka husika!

Tutege Masikio.

mama hii laana isikupite
 
Eti alikuwa anajifanya USALAMA WA TAIFA 😂

Usalama wa taifa aishie kwenye aibu namna hiyo mwisho wa siku 😳

😂😂😂... Kuna vitu vinachukuliwaga poa sana! Wangejua yeye ni boss wao wangemshurutisha namna hiyo?! 😂😂😂👍🏾

Jamaa FALA SANA!

#MALIPONIHAPAHAPADUNIANI
Hata angekua usalama wa taifa kweli inapofika hatua ukawa na makosa ya jinai na ukapelekwa mahabusu gerezani ukivunja Sheria za magereza unashurutishwa tu kule hakuna boss mzee, wanaweza tu kukufanyia favour za kiungwana kwakua na wewe ulikua kwenye system ila wakikuona ni mshezi wanaanza kukufanya kama mahabusu wengine hakuna u boss kule ndo maana ma Rais wana kinga ya kutokushtakiwa
 
Huyu jamaa alikuwa akija sehemu ya hadhi alikuwa ananifurahisha na style yake ya kuongea alafu anaangalia watu huku anatabasamu kana kwamba yeye yupo juu ya watu wote
Nakumbuka alivyo mfanyia dhihaka mkuu wa mkoa yule mama aliyefariki
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Ishuu kama tashiita kama tadinu tudan " ubaya wowote hulipwa kwa ubaya" .maneno ya mtume Muhammad (s,a,w)
 
Habari njema sana hii *****!!
Na Mimi nasema apigwe tuu.
Ukiambiwa usifanye hili halafu wew ukafanya kujidai ni jeuri au kiburi Utapigwaa tuu. Tena wawe wanapiga asubuhi mchana na jioni.
Wapigeee tuu na wasimwachie mbwa Koko huyo mpka tutakapo pata KATIBA mpya ya wananchi.
 
Hata angekua usalama wa taifa kweli inapofika hatua ukawa na makosa ya jinai na ukapelekwa mahabusu gerezani ukivunja Sheria za magereza unashurutishwa tu kule hakuna boss mzee, wanaweza tu kukufanyia favour za kiungwana kwakua na wewe ulikua kwenye system ila wakikuona ni mshezi wanaanza kukufanya kama mahabusu wengine hakuna u boss kule ndo maana ma Rais wana kinga ya kutokushtakiwa
Ukiwa na makosa ya jinai kama ni TISS member wala huchui round mjomba... kuna jela maalum za Jeshi na huenda hata usifike huko maana wanafuatiliana, ni kukuwasha tu na kukutangiliza kuzimu mapema. Hakuna TISS wanaishia mahabusu na jela hovyo. Wale ni watu hatari, tayari wana mafunzo ya kijeshi na mbinu tele! Ni hatari kuendelea kuishi otherwise uende jela ya jeshi maalum au ufe 😊

Bisha tumuite Mr. Nelson Jacob lushasi akupe elimu zaidi 😊😊😊
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom