Sabaya asomewa mashitaka ya uhujumu uchumu, Atinga mahakamani akiwa amenyoa Kipara

Mwisho wa siku naamini sabaya wata msamehe ila nadhani Mama anachotaka ni kurejesha heshima ya viongozi kwa raia.

Hawa watu walishakuwa ni miungu watu..Nadhani hii inaenda kufa completely.
 
Very good.

Wapumbavu wanaomtetea ndio waliosababisha majanga mengi kwenye hii nchi enzi ya utawala wa yule dhalimu
 
Anakwenda jela maisha huyu
 
Ile confidence yote Kwisha. Chezeya kunyolewa kipara wewe.
Hawa wajinga manyapara waliomnyoa wasije wakawa wamempiga kipara. Mbona namuona ana Soni usoni?
 
Kumepambazuka hatimaye japo usiku ulikuwa mrefu na kulipokaribia kupambazuka kizA kilikuwa kinene
 
Sheria ya mfungwa kufungwa Tena naiona ikimpenda Sabaya ...

Mchuma janga.....hula na wakwao...
Sheria ya mfungwa kufungwa!

Ninasikia hukumu 'senior' ndiyo humeza hukumu zinginezo ndogo ndogo.

Kwa hiyo labda akandamizwe maisha ama kunyongwa, adhabu hiyo ndiyo itakayoipiku hii ya 30.

Lakini wakimpiga 29 kushuka chini haitumikii, inamezwa kwenye 30!

Nisichofahamu kwa mfano anapokata rufaa kwa hii hukumu ya miaka30 na akashinda, je ushindi wa hukumu hiyo senior utabatilisha na adhabu zingine ndogo zilizoambatishwa kwenye hiyo humumu kubwa ama inakuwaje?

Ila kwa kweli huyu bw mdogo, mwaka huu ni wake, analo!
 
Cc johnthebaptist , Crimea na sukuma gang wengine.

Tafadhali njooni huku mumuone kada mwenzenu wa ccm.
 
Kutoka kuwa mkuu wa wilaya had gerezani akisubiri daktari athibitishe kuwa ni mzima wa afya ili atumikie adhabu ya viboko 15 vile vinavyopigwa fimbo moja mkono unaenda na mkono unaporudi unarudishwa na fimbo ya pili kutoka mkono unapotokea alafu hiyo ndo inahesabiwa kuwa ni fimbo 1 na anapigwa siku moja moja viboko kadhaa kama ratiba ya dozi huku akisign kila baada ya bakora

Dah kweli maisha yanabadlika huyu alikua ni mwamba aliemtisha kila mtu katka miez 10 tu iliyopita alikua anaweza kukupiga makofi mbele ya mke wako huku kakushikia bastola lakn leo hii anatumikia miaka 30 kweli dunia ni fumbo na tuishi vyema tukiomba mwisho mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…