Sabaya asomewa mashitaka ya uhujumu uchumu, Atinga mahakamani akiwa amenyoa Kipara

Sabaya asomewa mashitaka ya uhujumu uchumu, Atinga mahakamani akiwa amenyoa Kipara

Nimesikitika sana si kwa kufungwa kwake bali kwa future yake imeharibika!
Hata kama kama angeachiliwa leo sina hakika kama anaweza kuendelea na lolote kutimiza malengo na ndoto zake kama kijana.

Katika dunia kila kinachotokea huwa kinabakia kua funzo katika wale wanaokusudiwa kujifunza, vijana tujifunze namna bora ya kuifikia kesho iliyo bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom