Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kumbe watu wa kada mbali mbali ni WANANCHI ndomana tukaongoza kwa mapato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni wa ajabu kabisaYanga ni kikundi cha wahuni yaani sishangai
Tulia dawa iingieHuyu Sabaya atakua amehongwa tu na Moo au Wallace Karia ili atuhujumu kuelekea mechi ya ngao ya jamii.
Yanga hatuna majambazi, majangili na wahujumu uchumi kama ilivyo upande wa pili. Kama kuna mbumbumbu anayebisha, aje hapa nimtajie orodha ya viongozi wahalifu kutoka upande wa pili.
Kuna waliojaribu kumpindua raisi wa nchi ikishindikana wapo Msimbazi huko, hapo hujaweka mamafia ya kutakatisha fedha.Sishangai kabisa mhuni kama huyu kuwa mwanauto. Ni mshamba, mnajisi madaraka na hana chembe ya ubinadamu, characteristics zote za utopolians [emoji1787][emoji1787]
Tulia dawa iingie
Ana pesa ndefu huyu mwambaela kapata wapi ya kununulia iyo Jezi?