SABAYA atinga mahakamani na Jezi ya YANGA

SABAYA atinga mahakamani na Jezi ya YANGA

Huyu Sabaya atakua amehongwa tu na Moo au Wallace Karia ili atuhujumu kuelekea mechi ya ngao ya jamii.

Yanga hatuna majambazi, majangili na wahujumu uchumi kama ilivyo upande wa pili. Kama kuna mbumbumbu anayebisha, aje hapa nimtajie orodha ya viongozi wahalifu kutoka upande wa pili.
Aveva,Wambura ,Rage,Papa la Msofe na Bagen wote mikia
 
Kuna waliojaribu kumpindua raisi wa nchi ikishindikana wapo Msimbazi huko, hapo hujaweka mamafia ya kutakatisha fedha.
Walikuwa na sababu za msingi kupindua nchi, Simba haina viongozi washamba wenye akili mbovu kama yule anaevaa tie na scarf zenye bendera ya taifa.
 
Amesoma alma za nyakati. Kuna kipindi inabidi utafute namna gani wachache utawateka kihisia pamoja na mabaya uliyonayo na kwa kiasi Fulani japo kidogo amefanikiwa. Rejea Jana ya KIGOGO kuwa ingia Simba kwa staili ya uhamasishaji
 
Back
Top Bottom