Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86
IMG_20220119_172204.jpg
 
Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Alitakiwa ajue. Kwa serikali yeye ni tool tu. Anaweza kuwa replaced and vanished muda wowote.
Inaonekanaalijiwekea uhakika 100%. Ndio haya yana mkuta
 
Picha iko wazi sasa. Mtu anayeongoza jamhuri ni sympathetic na upigaji. Kasema wale kwa kiasi kwa urefu wa kamba zao. Alikua anaw ww na bosi wako kupambana na ufisadi mnamkwaza ndio maana kitu cha kwanza kwake ikawa kukutupa sabaya lupango.
 
Mkuu Detective J akhsante sana kwa kuandika kitu cha maana sana.
Mimi mnamo mwaka 1984, nilichukia kazi ya serikali baada ya kushuhudia mwamba mmoja kutumiwa na serikali kisha "kupotezwa" bila huruma.
Sijui kwa nini hawa vilaza hawajifunzi kuwa ni kheri kuwatendea mema wananchi kuliko kuitendea "jema" serikali/chama/mtu.
 
Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Hakuna mtu aliyetumwa kumuua Sabaya, ila kuna watu ambao walijihami sawa sawa kuwa wakikutana na Sabaya ama zake ama zao.

Huyu JAMBAZI mpumbavu alikuwa anamtegemea mwanadamu. Mwanadamu mwenyewe Magufuli aliyekuwa na VVU +Pacemaker+ Diabetes+ Mental +COVID 19, LAZIMA angekufa tu.

Wajanja walijuwa kuwa Magufuli HATOBOI 2023, wakakaa kimya, ila WAPUMBAVU wakamuona kama mungu mtu, wakamuabudu
 
Chuki za kupambana na Chadema weka kando mama. Jikite na kesi husika.

..kuna watu ndani ya ccm na serikali wana chuki na Sabaya.

..mbona wenzake waliodhulumu na kuumiza wapinzani wanaendelea kudunda mtaani?

..Sabaya ajitafakari alimkosea nani ktk ccm na serikali? Kwanini ametolewa kafara? Why him and not anybody else?
 
Picha iko wazi sasa. Mtu anayeongoza jamhuri ni sympathetic na upigaji. Kasema wale kwa kiasi kwa urefu wa kamba zao. Alikua anaw ww na bosi wako kupambana na ufisadi mnamkwaza ndio maana kitu cha kwanza kwake ikawa kukutupa sabaya lupango.

Acha kuwapa watu sifa wasizokuwa nazo. Tangu lini Sabaya akapambana na ufisadi?. Mke wake kwenye ushahidi anasema Miaka miwili ya ukuu wa wilaya ana miliki magari yenye thamani ya million 200,000,000.
 
Back
Top Bottom