Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Alitakiwa ajue. Kwa serikali yeye ni tool tu. Anaweza kuwa replaced and vanished muda wowote.Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Chuki za kupambana na Chadema weka kando mama. Jikite na kesi husika.Kuitumkia serikali kuhakikisha Chadema in inakufa Haia
Picha iko wazi sasa. Mtu anayeongoza jamhuri ni sympathetic na upigaji. Kasema wale kwa kiasi kwa urefu wa kamba zao. Alikua anaw ww na bosi wako kupambana na ufisadi mnamkwaza ndio maana kitu cha kwanza kwake ikawa kukutupa sabaya lupango.Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Mkuu Detective J akhsante sana kwa kuandika kitu cha maana sana.Alitakiwa ajue. Kwa serikali yeye ni tool tu. Anaweza kuwa replaced and vanished muda wowote.
Inaonekanaalijiwekea uhakika 100%. Ndio haya yana mkuta
Mkuu Utingo ,sio kupenda kazi.ndiyo madhara ya kupend akazi ukapuuza utu na watu
Hakuna mtu aliyetumwa kumuua Sabaya, ila kuna watu ambao walijihami sawa sawa kuwa wakikutana na Sabaya ama zake ama zao.Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
Chuki za kupambana na Chadema weka kando mama. Jikite na kesi husika.
Picha iko wazi sasa. Mtu anayeongoza jamhuri ni sympathetic na upigaji. Kasema wale kwa kiasi kwa urefu wa kamba zao. Alikua anaw ww na bosi wako kupambana na ufisadi mnamkwaza ndio maana kitu cha kwanza kwake ikawa kukutupa sabaya lupango.