Sabaya atoa machozi Mahakamani, adai aliweka rehani uhai wake kuitumikia Serikali mpaka akatumiwa watu kumuua

But Hiyo Siyo Justification Ya Kufanya Maovu Just In-case.
 
Pambana na hali yako ole Acha kulilia sponsor hufariki tambua hilo leo hii upo nyuma ya nondo za gereza kwa ujinga wako malipo hapa hapa dunian
 
ULOFA ULOFA TU
 
Baada ya kuifuatilia kwa muda mrefu nimegundua kesi hii ni ya kutengenezwa na wafanyabiashara wa wilaya ya Hai ili kumkomoa Sabaya baada ya kuwabana walipe kodi.

Mpaka sasa hamna ushahidi wowote wa maana ulioletwa kuhalalisha tuhuma za Sabaya ninachokiona ni mahakimu wa kesi hii wamehongwa pesa nyingi sana na wala rushwa wa Hai ili kuhakikisha wanamkomoa Sabaya.
 
90m? Kala Mwenyewe? Za mtu in exchange of threat? Etc?
 
Mm na swali? Waliofungua kesi ni hao wafanya biashara wa hai? Wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…