Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambana na hali yako ole Acha kulilia sponsor hufariki tambua hilo leo hii upo nyuma ya nondo za gereza kwa ujinga wako malipo hapa hapa dunianMshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua" https://t.co/HkwBRDIo86View attachment 2088232
ULOFA ULOFA TU..kuna watu ndani ya ccm na serikali wana chuki na Sabaya.
..mbona wenzake waliodhulumu na kuumiza wapinzani wanaendelea kudunda mtaani?
..Sabaya ajitafakari alimkosea nani ktk ccm na serikali? Kwanini ametolewa kafara? Why him and not anybody else?
Mm na swali? Waliofungua kesi ni hao wafanya biashara wa hai? Wapinzani?Baada ya kuifuatilia kwa muda mrefu nimegundua kesi hii ni ya kutengenezwa na wafanyabiashara wa wilaya ya Hai ili kumkomoa Sabaya baada ya kuwabana walipe kodi.
Mpaka sasa hamna ushahidi wowote wa maana ulioletwa kuhalalisha tuhuma za Sabaya ninachokiona ni mahakimu wa kesi hii wamehongwa pesa nyingi sana na wala rushwa wa Hai ili kuhakikisha wanamkomoa Sabaya.