Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani!

Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo anayoilinda! Kimsingi Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma, Sabaya akikutwa na hatia atapoteza sifa za kuwa mtumishi wa Umma na hivo atapoteza vingi sana katika maisha yake.

Nawakumbusha kisanga kimoja kuwa aliwah kushtakiwa eti kwakuwa kitambulisho cha TISS! Unafikiri masiahara? Jamaa ni kweli ni kitengo, na anajua kuwa haiwezekani ata kidogo kukutwa na hatia ila kuna mchezo anachezewa na wale ambao wanataka kumkomoa! Na kweli Mh Rais aliingizwa chaka issue ya Sabaya ila afisa kipenyo mzuri sana ambae ananyoosha mambo bila kipindisha.

Tanzania kila mtu ni afisa kipenyo. Yani ushtakiwe kwa kumiliki ID ya usalama wa taifa halafu hapohapo wewe unayeshutumiwa ni afisa kipenyo. Afisa kipenyo hawezi kufanya mambo ya kijinga Kama Sabaya.

Wenzake wameshakiri kosa, na wanaweza kuja Kama mashahidi upande wa jamhuri. Nadhani ni shule Sabaya anapitia kujifunza unyenyekevu.
 
Mwandishi mbona hueleweki ,,nyoosha habari yako bila chengachenga!
 
Na ushahidi wote ule? Unakumbuka kwamba katika utetezi wake alishawahi kusema alikua anatumwa na mamlaka za juu kufanya jinai..
 
Back
Top Bottom