Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini


Tanzania kila mtu ni afisa kipenyo. Yani ushtakiwe kwa kumiliki ID ya usalama wa taifa halafu hapohapo wewe unayeshutumiwa ni afisa kipenyo. Afisa kipenyo hawezi kufanya mambo ya kijinga Kama Sabaya.

Wenzake wameshakiri kosa, na wanaweza kuja Kama mashahidi upande wa jamhuri. Nadhani ni shule Sabaya anapitia kujifunza unyenyekevu.
 
Mwandishi mbona hueleweki ,,nyoosha habari yako bila chengachenga!
 
Na ushahidi wote ule? Unakumbuka kwamba katika utetezi wake alishawahi kusema alikua anatumwa na mamlaka za juu kufanya jinai..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…