Tathmini ya msingi inaonesha watu wengi kufurahishwa na hukumu ile bila kujali nini kitamtokea sasa baada ya hapa.
Waliokuwa wapambe wake katika uovu, mitaani na mitandaoni wote wamesambaratika. Hivi Wamepotelea mashimoni kama mapanya wakichungulia kama vile hawakuwahi kuwapo wala kusema jambo ππ.
Sabaya angenusuriwa vipi, na nani katika hali kama hii:
Your browser is not able to display this video.
Hiyo mahakama ingeeleweka kweli hata kwa wapambe wake tu?
"U haki wa hukumu kwa mshitakiwa ni furushi lote lijumuishalo kuzingatiwa sheria na muonekano wa uwazi wenye kuonyesha bayana ushahidi na sheria zinazingatiwa."
Kwa hakika kwa wahanga wa nduli Sabaya Mungu awape nini?
Mambo mengine yanakuja Kama elimu ili kila mtu apate kujifunza...........Sabaya amewafunza watu wengi kuwa wakipata uongozi waishi vipi japo wapo waliokua wakipata malipo juu ya kutumia vyeo na mamlaka yao vinabaya lakini walikua wanachukulia labda ni fitna tu au wamelogwa na wapinzani wao ila hapa pa OLE pana mazingatio sana.

Hope leo una imani na mahakama, ndio maana nakwambia haya mambo ni hatua, kama mahakama zipo na majaji/mahakimu wapo, muhimu waachiwe kazi yao wafanye, wakienda kinyume na matarajio ya wengi, haki ya kukata rufaa ipo.
Hope leo una imani na mahakama, ndio maana nakwambia haya mambo ni hatua, kama mahakama zipo na majaji/mahakimu wapo, muhimu waachiwe kazi yao wafanye, wakienda kinyume na matarajio ya wengi, haki ya kukata rufaa ipo.
Tathmini ya msingi inaonesha watu wengi kufurahishwa na hukumu ile bila kujali nini kitamtokea sasa baada ya hapa.
Waliokuwa wapambe wake katika uovu, mitaani na mitandaoni wote wamesambaratika. Hivi Wamepotelea mashimoni kama mapanya wakichungulia kama vile hawakuwahi kuwapo wala kusema jambo ππ.
Hiyo mahakama ingeeleweka kweli hata kwa wapambe wake tu?
"U haki wa hukumu kwa mshitakiwa ni furushi lote lijumuishalo kuzingatiwa sheria na muonekano wa uwazi wenye kuonyesha bayana ushahidi na sheria zinazingatiwa."
Kwa hakika kwa wahanga wa nduli Sabaya Mungu awape nini?
Matukio yake yalikuwa yanaacha alama za ushahidi nyuma yake na kwa maelezo aliyoyatoa mahakamani na kwa kuzingatia sheria ilikuwa ni vigumu kwa sasa kuchomoka.