Tathmini ya msingi inaonesha watu wengi kufurahishwa na hukumu ile bila kujali nini kitamtokea sasa baada ya hapa.
Waliokuwa wapambe wake katika uovu, mitaani na mitandaoni wote wamesambaratika. Hivi Wamepotelea mashimoni kama mapanya wakichungulia kama vile hawakuwahi kuwapo wala kusema jambo 😁😁.
Sabaya angenusuriwa vipi, na nani katika hali kama hii:
Hiyo mahakama ingeeleweka kweli hata kwa wapambe wake tu?
"U haki wa hukumu kwa mshitakiwa ni furushi lote lijumuishalo kuzingatiwa sheria na muonekano wa uwazi wenye kuonyesha bayana ushahidi na sheria zinazingatiwa."
Kwa hakika kwa wahanga wa nduli Sabaya Mungu awape nini?
Haki imetendeka.